Mkuu unataka kutwambia nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Ni hivyohivyo hata katika uongozi. 'kiongozi usiyempenda ndiye anakupenda zaidi'
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Hapana mimi sijasema zaidi ya hapo.Mkuu unataka kutwambia nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna harufu ya kuulizana itikadi za kisiasa hapa,,, TeheeMkuu unataka kutwambia nini?[emoji23][emoji23][emoji23]