matron, kwa uhandishi huu, tayari ushaonesha umesimama upande gani, unaposema "wakaja kuzugazuga" una maanisha nini, yaani walikuja na hawakuwa na la maana kwenye huo msiba...!?Majuzi hapa kuna mdada nilimsimamia ndoa yake kwa bahati mbaya nikapata habari kuwa kafiwa na baba mkwe kilichonisikitisha ni kuwa yule binti na mmewe walisafiri kwenda msibani siku ya kuzika na asubuhi iliyofwata wazazi wa binti wakaja kuzugazuga hao wakasepa zao na kijana aliyefiwa na baba plus mkewe,hii ilinishangaza sana hadi sasa sina jibu au ndio mambo ya kimjini?Naombeni darasa kwa hapa jameni.
Nawasilisha
Majuzi hapa kuna mdada nilimsimamia ndoa yake kwa bahati mbaya nikapata habari kuwa kafiwa na baba mkwe kilichonisikitisha ni kuwa yule binti na mmewe walisafiri kwenda msibani siku ya kuzika na asubuhi iliyofwata wazazi wa binti wakaja kuzugazuga hao wakasepa zao na kijana aliyefiwa na baba plus mkewe,hii ilinishangaza sana hadi sasa sina jibu au ndio mambo ya kimjini?Naombeni darasa kwa hapa jameni.
Nawasilisha
matron, kwa uhandishi huu, tayari ushaonesha umesimama upande gani, unaposema "wakaja kuzugazuga" una maanisha nini, yaani walikuja na hawakuwa na la maana kwenye huo msiba...!?
Kuhusu maombolezo ya msiba inategemea na Iman yao ya dini au Mila za kabila lao...! Wapo ambao wanamaliza msiba baada ya kuzika, wapo wanao maliza msiba baada ya siku tatu tangia kwa marehemu kufariki, wapo wanao maliza msiba siku ya tatu baada ya kuzika.
Asante X Paster kwa ufafanuzi ila nnaposema wakaja kuzugazuga ni kwamba walikaa kama lisaa limoja wakainuka na kuondoka,ila mimi kwa sababu ya uhusiano nilionao kwa hiyo familia ya mfiwa ilibidi tubakie kwa siku mbili.ingawa sikuelewa nini hasa maana ya wale kuondoka wakati bado tulukua hatujaanua tanga
hii ndo dunia matron kula maisha kufa kwaja...ukifa na habari zako ni kwisha .... ukishawekwa kaburini watu wanaendelea na maisha kama kawaida... kwani utatufanya nini?Mmmhh hayaga ya malimwengu ni mengi lol!
.... ndo ivo piga kimya ...ila mamkwe anaombolezewa siku ya mazishi tu..... mmmh dunia ina mambo......sawa Smile nimekupata na kweli sina cha kuwafanya
hii ndo dunia matron kula maisha kufa kwaja...ukifa na habari zako ni kwisha .... ukishawekwa kaburini watu wanaendelea na maisha kama kawaida... kwani utatufanya nini?
kweli mdau..... kila mtu kwa muda wake...hata waliopendana kama kumbikumbi awajawai omba wafe siku moja ndo maana,hapa duniani mpende MUNGU sana wengine ni wasafir kama wewe kila mmoja ataondoka kwa wakati wake na maisha yatasonga kwa tunaobaki.