Hivi ulikuwa unafahamu?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,264
Reaction score
1,914
Kwamba wote walio jiuzulu ni product ya seminari?
Najiuliza wangekuwa ndio kama akina sisi ambao hatukupita huko tungeweza kuwa na ujasiri huo?
 
Kwamba wote walio jiuzulu ni product ya seminari?
Najiuliza wangekuwa ndio kama akina sisi ambao hatukupita huko tungeweza kuwa na ujasiri huo?
Tutajie na seminari zenyewe na miaka waliyopitaamoo!
 
Kwa hiyo ndio unasemaje hapo?
Kuwa wamesoma seminary ili wapambane na nani

Hizi chokochoko hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…