Nasikitika sana hapa ninapo andika hiki ninachokiandika, kuna baadhi ya wanafunzi wa chuo cha udom tangu wafungue chuo hadi leo zikiwa zimebakia siku chache wamalize semester bado hawajawekiwa mkopo hata mara moja, kutokana na hilo nikasema ngoja nikaongee na loan officer wa hapo chuoni kwao na majibu aliyonipa ni nikawa najifikilia kweli hiki ni chuo au high level school maana watu wengi hawajitambui wapo kama mazezeta. loan officer eti kaniambia "MIMI SIUSIKI WALA SIJUI KWANINI HAWAJAWEKIWA ELA MPAKA LEO, LABDA WAENDE DAR KUFUATILIA" .........yaani sikujua umuhimu wa yule mtu pale, nawaonea uruma dada zetu maana ndio inawalazimisha kwenda kujiuza ili ajikimu na yeye amalize chuo' """"""serikali wanalojibu ila wamelikalia""""""""""""""'

sasa mbona mada na heading tofauti?? mnatuvuruga bwana sekondari na mikopo wapi na wapi?Nasikitika sana hapa ninapo andika hiki ninachokiandika, kuna baadhi ya wanafunzi wa chuo cha udom tangu wafungue chuo hadi leo zikiwa zimebakia siku chache wamalize semester bado hawajawekiwa mkopo hata mara moja, kutokana na hilo nikasema ngoja nikaongee na loan officer wa hapo chuoni kwao na majibu aliyonipa ni nikawa najifikilia kweli hiki ni chuo au high level school maana watu wengi hawajitambui wapo kama mazezeta. loan officer eti kaniambia "MIMI SIUSIKI WALA SIJUI KWANINI HAWAJAWEKIWA ELA MPAKA LEO, LABDA WAENDE DAR KUFUATILIA" .........yaani sikujua umuhimu wa yule mtu pale, nawaonea uruma dada zetu maana ndio inawalazimisha kwenda kujiuza ili ajikimu na yeye amalize chuo' """"""serikali wanalojibu ila wamelikalia""""""""""""""'
mbona heading na mada ni tofauti?? mnatuvuruga bwana we sekondari na mikopo wapi na wapi?? mjipangeNasikitika sana hapa ninapo andika hiki ninachokiandika, kuna baadhi ya wanafunzi wa chuo cha udom tangu wafungue chuo hadi leo zikiwa zimebakia siku chache wamalize semester bado hawajawekiwa mkopo hata mara moja, kutokana na hilo nikasema ngoja nikaongee na loan officer wa hapo chuoni kwao na majibu aliyonipa ni nikawa najifikilia kweli hiki ni chuo au high level school maana watu wengi hawajitambui wapo kama mazezeta. loan officer eti kaniambia "MIMI SIUSIKI WALA SIJUI KWANINI HAWAJAWEKIWA ELA MPAKA LEO, LABDA WAENDE DAR KUFUATILIA" .........yaani sikujua umuhimu wa yule mtu pale, nawaonea uruma dada zetu maana ndio inawalazimisha kwenda kujiuza ili ajikimu na yeye amalize chuo' """"""serikali wanalojibu ila wamelikalia""""""""""""""'
hapo ntapinga mpaka siku nakufa!!!!UDSM ndio Chuo Kikuu pekee Tanzania.UDOM ni kambi ya UVCCM tu