hivi uchawi kwenye mapenzi upo?

jhakuna cha dawa wala nn!! niliachwa na X nilikua nampenda kufa yaan sikuona thaman ya kuish dunian bila yy... nilitembea kwa waganga wa kila mkoa nilichoma dawa za kulala zinawaka lakin wapi.... asikudanganye mtu hakuna dawa ya mapenzi
kweli ulipenda pole sana...!!!
 
Eb tuaabarishe vizur ndugu... ilikuaje maana nasi ndugu zetu wameshikwa tutawasaidiaje kutoka uko!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…