MLIMBWANJI Member Joined Jan 12, 2013 Posts 42 Reaction score 86 Nov 7, 2025 #1 Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa?
Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa?
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,000 Reaction score 16,203 Nov 7, 2025 #2 Umekurupuka, Unafikiri Samia hana waganga wamoto ?
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,457 Reaction score 11,336 Nov 7, 2025 #3 MLIMBWANJI said: Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa? Click to expand... Mbona kuna jamaaa alijitolea kuwaaminisha uchawi upo na hukwenda
MLIMBWANJI said: Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa? Click to expand... Mbona kuna jamaaa alijitolea kuwaaminisha uchawi upo na hukwenda
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,302 Reaction score 14,620 Nov 7, 2025 #4 Wapo tu wa kutosha kila kona.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,085 Reaction score 121,443 Nov 7, 2025 #5 Mbona heading na content haviendani? Heading inauliza Uchawa upo? halafu content inauliza Uchawi upo?
Mbona heading na content haviendani? Heading inauliza Uchawa upo? halafu content inauliza Uchawi upo?
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 4,080 Reaction score 10,574 Nov 7, 2025 #6 Uchawi au uchawa
K kateka JF-Expert Member Joined Nov 30, 2012 Posts 697 Reaction score 549 Nov 7, 2025 #7 Surya said: Umekurupuka, Unafikiri Samia hana waganga wamoto ? Click to expand... Wenyewe wanasema hata ukiwa na Mganga wa moto vipi kama udhulumu mtu dawa hazifanyi kazi
Surya said: Umekurupuka, Unafikiri Samia hana waganga wamoto ? Click to expand... Wenyewe wanasema hata ukiwa na Mganga wa moto vipi kama udhulumu mtu dawa hazifanyi kazi
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,085 Reaction score 121,443 Nov 7, 2025 #8 kateka said: Wenyewe wanasema hata ukiwa na Mganga wa moto vipi kama udhulumu mtu dawa hazifanyi kazi Click to expand... Mkuu hao wenyewe ni kina nani?
kateka said: Wenyewe wanasema hata ukiwa na Mganga wa moto vipi kama udhulumu mtu dawa hazifanyi kazi Click to expand... Mkuu hao wenyewe ni kina nani?
K kateka JF-Expert Member Joined Nov 30, 2012 Posts 697 Reaction score 549 Nov 7, 2025 #9 The Icebreaker said: Mkuu hao wenyewe ni kina nani? Click to expand... Wataalamu wa hizo mambo
K kateka JF-Expert Member Joined Nov 30, 2012 Posts 697 Reaction score 549 Nov 7, 2025 #10 MLIMBWANJI said: Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa? Click to expand... rekebisha heading basi
MLIMBWANJI said: Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa? Click to expand... rekebisha heading basi
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 14,549 Reaction score 31,572 Nov 7, 2025 #11 Hakuna uchawi.