Hivi tunatoka wapi na tunaenda wapi kielimu....

We F1 ulisoma st.? si ulisoma kwa kina Kayumba?
Tatizo wazazi wengi wanawapeleka watoto wao st. alafu huku kwa kina Kayumba wanakufumbia macho na hawakupi msisitizo bora yeisheeeeeeeee ndo hapo chacha tutakuwa na taifa mbumbumbu miaka 20 ijayo.

Hahaha mie nimesoma ya Kayumba Fidel80 nimeisoma sana ila baba yangu alikuwa na kawadhifa kadogo upande wa elimu ..nilibahatika ..
 
Hahaha mie nimesoma ya Kayumba Fidel80 nimeisoma sana ila baba yangu alikuwa na kawadhifa kadogo upande wa elimu ..nilibahatika ..
mie jamani nimesoma hizo hizo St. halmashauri lakini anagalau zilikuwa reliable sio kama siku hizi.............
 

Thatha huko mjengoni kama Richmond wameichimbia..
mashirika yanayokufa wanayachimbia

Elimu sijui................?
 
mbele kuna chui, nyuma simba, pemebeni sijui faru na tembo.........

Mmh nafikiri pembeni kuna mto wenye mamba, viboka na bahari yenye papa na nyangumi.
 
Mmh nafikiri pembeni kuna mto wenye mamba, viboka na bahari yenye papa na nyangumi.

you have said all my dear, sasa uniambie kama una pakugeukia kama si kukata tamaaa usubirie anayekuwahi................
 
you have said all my dear, sasa uniambie kama una pakugeukia kama si kukata tamaaa usubirie anayekuwahi................

tatizo ni kuwa kadri tunavyozidi kulala iko siku watu wataamka vichaa pakawa hapatoshi maana siye hatuna tena pa kukimbilia. Majirani zetu wanaotuzunguka wote tumewapokea makambini, wengine tumewasaidia kupata uhuru, na mambo mengi mazuri tunayo ya kujivunia kwao lakini je siku patakapokuwa hapatoshi wanaweza kweli kutupokea?

Maana hao majirani zetu kielimu naona wanakwenda kasi tena wanaitafuta kwa bidii sio ya kufoji ukizingatia wengine kama Rwanda wametoka kwenye vita lakini si haba wanajitajidi kuvuta kasi maana wanajua wanachokifanya kwa manufaa ya nchi yao. je sisi?

Huenda ndio wa kawa wa kwanza kusema si mlikuwa mnajidai eti pici, pici sasa kikowapi wakatucheka na kutuzodoa.
 

peace my foot!!! nachukia kweli mtu akitumia halo ka-defence eti peace.....
mi nalala macho sijui wanangu watasomaje, watakulala nini, watalala wapi afu unaniambia nina amani..ipi hiyo????
wa kwanza atakuwa wa mwisho
rwanda haoooooooooooooooooooooooooo pamoja na vita walopigana tutaachwa sie hivi hivi
 
u're right wa kwanza mara nyingi huwa wa mwisho.
 
salams,mimi naona swala la elimu si kuangalia quantities in terms ya demand na supply bali qualities in terms of demend na supply.
nachojaribu kusema ka kifupi ni kuanza mwanzo kabisa from zero.kama kujiuliza bila hisia za woga,au aibu,kujifananisha,kuiga n.k.je elimu ni nini?then tuende kwenye mambo mengine kama miundo,lugha,ubora,utoaji,walengwa.n.k.kwani nafikiri watu wengi tuna kata matawi mengi ya ujinga tunaacha shina linaendelea kuotesha matawi bora zaidi ya ujinga,imagine tungekata shina la ujinga?hata swala la kutumia lugha za kigeni chuoni au shuleni kama njia kuelimisha.tulijadili tukiangalia mahitaji yetu,mazingira,uwez
 
ukitaka kujua elimu yetu inakwenda wapi.........mbele au nyuma!!! Wewe soma tu thread iliopo hapa ilioandikwa na salehe ndada ndo utajua elimu yetu inakwenda wapi.
 
FL1 na wengine,

Hakuna kitu rahisi kama kuboresha elimu katika nchi hii. Tatizo Usanii umetuzidi kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…