Unauliza pesa gani mkuu,pension ya kila mwezi au ya mkupuo?Maana ya kila mwezi wameshalipa,tena tarehe zile zile kama kawaida.Ila nahisi amalgamation bado haijakamilika,bado wamelipa kama PSPF,PPF nk.ZA asubuhi wadau, naomba kuliza swali nililoulizwa "hivi hadi tarehe ya jana 6/8/18 bado PSSSF hawajawalipa warithi na wastaafu pesa kama ilivyokuwa awali?
NSSF huwa hawana tarehe maalum wao ni kati ya 24 na 31, wako hoi.Unauliza pesa gani mkuu,pension ya kila mwezi au ya mkupuo?Maana ya kila mwezi wameshalipa,tena tarehe zile zile kama kawaida.Ila nahisi amalgamation bado haijakamilika,bado wamelipa kama PSPF,PPF nk.
Mkuu kwani mme wake alikufa lini na tarehe yake ya kujihakiki ni lini?The point here is,anayelipwa pension ya kila mwezi ni mstaafu mwenyewe sio mwenza.Mwenyewe akishakufa, payment inaishia kwenye tarehe ya kujihakiki,tena kwa vile hawawezi ku-establish kwamba mwenyewe ameshakufa.pension ya kila mwezi, mumewe alikuwa mwalimu
Ni baya sana kwa wazee wetu hili.Ukistaafu awamu hii ya tano, utakufa kwa msongo wa mawazo. Mifuko ya hifadhi ya jamii iko hoi.
Ni jambo baya sana kwa wazee wetu hili..Ukistaafu awamu hii ya tano, utakufa kwa msongo wa mawazo. Mifuko ya hifadhi ya jamii iko hoi.
Inaumiza sana chief!! Kuna mzee alistaafu mwaka jana, hajalipwa mafao yake hadi leo. Anadaiwa kodi ya pango na hana hela ya kulipa. Ni maumivu.Ni jambo baya sana kwa wazee wetu hili..
Mkuu kwani mme wake alikufa lini na tarehe yake ya kujihakiki ni lini?The point here is,anayelipwa pension ya kila mwezi ni mstaafu mwenyewe sio mwenza.Mwenyewe akishakufa, payment inaishia kwenye tarehe ya kujihakiki,tena kwa vile hawawezi ku-establish kwamba mwenyewe ameshakufa.
Mkuu mm mwenyewe nina mzazi wangu toka mwaka jana hadi leo hii haijajulikana fedha zake anapata lini, lakini kwa viongozi kisiasa unashangaa huu ucheleweshwaji haupo kbs!Inaumiza sana chief!! Kuna mzee alistaafu mwaka jana, hajalipwa mafao yake hadi leo. Anadaiwa kodi ya pango na hana hela ya kulipa. Ni maumivu.
Siwezi kubisha kama una uhakika LAPF wanafanya hivyo mkuu,labda ni kweli.Unajua, mazoea ni mabaya,si unajua tumezoea kwamba mpaka mtu anastaafu hana watoto wadogo,na nadhani hata mashirika hayo yanaamini hivyo.Hata hivyo nadhani itabidi huyo mama approve kwamba ana watoto wadogo wa mnufaika.Haupo sawa, LAPF walikuwa wakilipa wajane wenye watoto chini ya 18 yrs malipo ya mwezi.
Wanalipana wenyewe, na inasemekana ucheleweshaji huu unatokana mifuko kukosa fedha za kulipa, kwani fedha zote serikali imekopa na haijalipa, na haijulikani inalipa lini. Mifuko inaidai serikali fedha nyingi sana. Wastaafu wanateseka sana.Mkuu mm mwenyewe nina mzazi wangu toka mwaka jana hadi leo hii haijajulikana fedha zake anapata lini, lakini kwa viongozi kisiasa unashangaa huu ucheleweshwaji haupo kbs!
asante ntalifanyia kaziMkuu kwani mme wake alikufa lini na tarehe yake ya kujihakiki ni lini?The point here is,anayelipwa pension ya kila mwezi ni mstaafu mwenyewe sio mwenza.Mwenyewe akishakufa, payment inaishia kwenye tarehe ya kujihakiki,tena kwa vile hawawezi ku-establish kwamba mwenyewe ameshakufa.
Hata hivyo kama mnataka kujua hasa kilichotokea,ingieni kwenye tovuti ya shirika ambalo huyo mama mme wake alikuwepo,kamà ni NSSF ingia kwenye tovuti yao,naamini wanayo,mtapata namba ya kupiga bure, wapigieni mtapata jibu.Naamini kwamba PSSSF hawako fully operational kwa sasa, maana hata tovuti hawana.