Hivi polepole anajua kua CCM chini ya mwavuli wa serikali ndio custoadian wa sharia za nchi

Munjombe

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
1,938
2,636
Nimewona Humpheri PolePole akionesha makaratasi ya malipo ya faini ya Dr.Mashinji na kwa furaha,Bashasha bila tashwishwi anaongea na waandishi wa habari kuwaarifu kuwa CCM imemlipia faini Dr.Mashinji.Nimejiuliza maswali hivi polepole anajua kua CCM chini ya mwavuli wa serikali ndio custoadian wa sharia za nchi.

Anajua CCM kumlipia faini Dr.Mashingi ni sawa na kusema mweneyekiti wa CCM ambaye ndiye Raisi ameruhusu mwanae mmoja tu kati ya kumi na wawili ndio atoke gerezani huku akiwabagua wenegine kwa makosa yale yale?.

Anajua kuwa tafsiri yake ni kua Dr.Mashinji alionewa na Polisi,DPP,AG office na mwisho na mahakama?.
je huo ndio utakuwa utaratibu wa CCM Mkuwalipia wanachama wake waliotiwa hataiani?Sijui PolePole AMETUONESHA NINI ni ujinga wangu wa kutolewa mambo japo naona Chadema jana wametega mtego CCM imenasa wangeweza changa fedha kisiasa lakini kuitangaza wametuoneesha kua kilichoshitakiwa sio makosa yaliyofanywa bali ni chadema.
 
je huo ndio utakuwa utaratibu wa CC Mkuwalipia wanachama wake waliotiwa hataiani?Sijui PolePole AMETUONESHA NINI ni ujinga wangu wa kutolewa mambo japo naona Chadema jana wametega mtego CCM imenasa wangeweza changa fedha kisiasa lakini kuitangaza wametuoneesha kua kilichoshitakiwa sio makosa yaliyofanywa bali ni chadema.
You are out of context sir!!!!
 
We wasema kwa maoni yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wangeonekana sio wabaguzi na wazalendo kama wangetoa tu mchango kuwalipia wote watoke.
Ulishawahi kuona wapi mchezeji wa yanga akalipwa stahiki zake na AZAM FC haipo hiyo.

sent from toyota Allex
 
Nimewona Humpheri PolePole akionesha makaratasi ya malipo ya faini ya Dr.Mashinji na kwa furaha,Bashasha bila tashwishwi anaongea na waandishi wa habari kuwaarifu kuwa CCM imemlipia faini Dr.Mashinji.Nimejiuliza maswali hivi polepole anajua kua CCM chini ya mwavuli wa serikali ndio custoadian wa sharia za nchi.

Anajua CCM kumlipia faini Dr.Mashingi ni sawa na kusema mweneyekiti wa CCM ambaye ndiye Raisi ameruhusu mwanae mmoja tu kati ya kumi na wawili ndio atoke gerezani huku akiwabagua wenegine kwa makosa yale yale?.

Anajua kuwa tafsiri yake ni kua Dr.Mashinji alionewa na Polisi,DPP,AG office na mwisho na mahakama?.
je huo ndio utakuwa utaratibu wa CCM Mkuwalipia wanachama wake waliotiwa hataiani?Sijui PolePole AMETUONESHA NINI ni ujinga wangu wa kutolewa mambo japo naona Chadema jana wametega mtego CCM imenasa wangeweza changa fedha kisiasa lakini kuitangaza wametuoneesha kua kilichoshitakiwa sio makosa yaliyofanywa bali ni chadema.
Mbona hao wa kwenu mnawachangia, kwa nini Mwana-CCM asilipiwe faini na CCM?

Power corrupts, ABSOLUTE power corrupts ABSOLUTELY!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom