kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 733
Huyu mutu ya Kongo, naona kama anataka isimamisha nchi kwa muda kidogo hasa kwenye burudani ya mziki wa dance, sasa hivi kila upitapo utasikikia papa mobimba yeee papa mobimba yeeee, Mara papa yuko hotelin anafanya press na waandishi wa habari... Yaan ni kama anaiteka jamii ya wanamuziki kwa muda.
Sasa katika hili, wabongo tunafeli wapi, haiwezekani papa 4lolo Leo hii licha miziki yao ya kikongo kuwekwa kando kidogo na jamii yetu, ila yeye ameifanya jamii yetu imakinike naye tena hata hiyo show yake unaambiwa kiingilio ni laki moja.
Wako wapi akina alichoki, badi bakule, Jose Mara, twanga,waziri sonyo,n.k
Sent using Jamii Forums mobile app