leo nimeshtushwa na uwezo wa Mh Ole Sendeka kama kiongozi! bAADA YA KUONA pROF lIPUMBA ANA TIRIRKA HOJA ZA ZA KISOMI ! Huyu Mh aliamua kuomba mwongozo kuwa eti kwa sababu Mh Lipumba anatoa ufafanuzi tu basi asisome! bali aongee tu !Katika akili ndogo kabisa hiyo ni hoja ya kijnga kabisa.Nimejiuliza hivi huu ushabiki uliotopea unawanyiama watu wazima hata fursa ya kutafakari au ni elimu ndogO ! kwa kweli CCM KWA HOAJ ZA AINA ILE NI KUJIDHALILISHA! AU MMEZOEA HOTUBA ZA MKUU WA KAYA AMBAZO HATA AKIANDIKA HUWA ANACHEPUKA NA KUANZA KUONGEA YAKE !NA ATHARIZAKE MNAZIJUA! POOR OLE SENDEKA TANZANIA INABADILIKA KWA KASI WEWE NA WENZIO MMELALA PONO
Kwa hiyo kilichokuchukiza wewe ni Ole Sendeka kuomba mwongozo tu au kuna kingine?
Kwa hiyo kilichokuchukiza wewe ni Ole Sendeka kuomba mwongozo tu au kuna kingine?
Kwa hiyo wewe una control factors zinazoudhi wengine???!!!!
Eti alikuwa mod huyo...ptuuuuu...Sijui Mexene alitokana wapi na huyu takataka..
Ole Sandeka hata angekuwa na kiwango cha elimu ya udaktari (yaani PhD) bado ataendelea kuonekana kama mtu mwenye elimu chini ya elimu ya watu wazima! In short watu aina ya Ole Sandeka ndani ya CCM ni wengi sana, sema wanabebwa na mfumo uliopo madarakani otherwise hawastahili hata Mjumbe wa nyumba kumi kumi. Huwezi piga propaganda ndani ya bunge maalumu la katiba ya watanzania. Bunge maalumu ni sehemu ya kushindana kwa hoja za nguvu na hoja itakayoshinda ipigiwe kura ya haki na ipite lkn sio kinachotokea Dodoma. Katiba ya nchi kamwe haiwezi kuchezewa kama wanavyofanya wajumbe W bunge maalumu pale Dodoma. Wabunge wa CCM wanashangaza sana, wanataka kutengeza katiba cha uzao wao tu, hawajui kesho wao na watoto wao wasiwe ndani ya huu mfumo wanaoutetea sasa. Hawajui kuwa siasa hazina rafiki wa kudumu ila masilahi ya kudumu. Leo huko CCM mwakani kwenye uchaguzi mkuu uko nje ya mfumo! Nakuhakikishia wabunge wengi wa CCM ipo siku mbeleni yatakuja juta usaliti wanaofanya kwa kudharau maoni ya wananchi kupitia tume ya raisi ya Jaji Warioba kuhusu rasimu ya pili ya katiba mpya tunayoitaka kama taifa.
Kwa hiyo kilichokuchukiza wewe ni Ole Sendeka kuomba mwongozo tu au kuna kingine?
Kwa hiyo kilichokuchukiza wewe ni Ole Sendeka kuomba mwongozo tu au kuna kingine?
We uliona Olesendeka alikuwa sawa.....
Hapa suala sio muongozo aliomba maana kila mtu ana haki ya kuomba muongozo kama Kanuni zinavyoeleza...
Alichoongea Olesendeka ni aibu tupu....Sasa na wewe kama unam-support huyo Olesendeka na wewe ni mpuuzi tuu....
Halafu unajua nakudharau sana...Pia unajidhalilisha...Halafu naona sio mod tena...Afadhali wamekuengua maana ni aibu tupu...Akili yako ni fupi sana, huna tofauti na Olesendeka....
Kwa hiyo kilichokuchukiza wewe ni Ole Sendeka kuomba mwongozo tu au kuna kingine?