Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?

Wife hataki kabisa kusikia haya mambo. Bro natafuta mmoja wa kufanya training
Piga kibiriti..Mi nilishavichoma tangu nianze biashara ya vifuniko..

Training tunaanzia kwa wake zetu..Haina haja ya kupoteza pesa..

Yeah..Tufungue na Massage center
 
Kwamba siku hizi wanawake wamekuwa wavivu kiasi cha kulipa mtu awasafishe miguu? Wanaume muwe mnawa massage wake zenu mara mojamoja, maana ndicho wanacho wafanya wafanye hizi taratibu hatarishi.
 
Ungemfata pale pale ukamwambia haya maneno..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…