Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
DuhBiashara matangazo
embuu achaa na sisi tufaidi bana, waendelee kuvyaa tu.haya upite hapa tunapouza vijimtumba na kiblauzi chako kizuri mtejaHabarini wakuu.......
Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?.......
Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa bonge ya mini ,mapaja yote yako wazi alafu kakaa sehemu ya wazi kila anayepita anamuona ......
Siyo poa! Tubadilike
Nammeshafaidi sana....napita hapoembuu achaa na sisi tufaidi bana, waendelee kuvyaa tu.haya upite hapa tunapouza vijimtumba na kiblauzi chako kizuri mteja
Put in....
NakutumiaBila picha siamini
Upo?? Hujambo...
Nipo na sijambo kabisaUpo?? Hujambo...
Hii noma sanaKuna siku niliona huyo dada kajiachia halafu hajavaa kufuli hana habari mwenyewe. Aibu niliona mimi