don williama
Member
- Dec 7, 2015
- 48
- 72
Vitu vingi vya kijinga hapa Bongo hupata mashabiki wengi kwa sababu elimu (hence upeo wa kufikiri) yetu ni duni. Wewe angalia vitu vya maana kama vina mashabiki! Hivi mtu kama Wema Sepetu angekuwa nchi yenye watu wanaojielewa ni binadamu anayeweza kuwa na misukule ya followers 2 million kwenye social network? Kwa kipi cha maana anachoandika? Lakini ndio hivyo utakuta mapaka wanafunzi wa vyuo vikuu wako kwenye hayo makundi!Mi naona Redio ya clouds ni kundi LA wahuni tu.... Wanawatumia wasanii wetu kwa manufaa binafsi then wanawaacha solemba. Mwaka Jana mwishoni wamemtumia Saida carol, Mwaka huu wameanza na Aslay na Nandi, sasa hivi wako na Papi Kocha na Nguza Vikings.... Who's next?
Well said yaani wananikera kinoma hao jamaa..ujanja tuClouds FM ni moja ya vituo vya redio bogus hakuna mfano wake east, central and south africa nzima; 90% of the time ni commercials, 5% music interlude, 3% kubishana kifalafala na kujichekeshachekesha na kutaniana mwisho 2% other content!!!! A very lousy radio station indeed! Hivi TCRA hawana mechanism ya kutathmini ubora wa vituo kama hivi na kuvifuta if possible!
Yaani kila kitu wanafanya ujanja ujanja hao jamaa wako very selfishkwakweli hyo kampuni imenipitia kushoto now days ...nipo saloon muda huu vijana wameweka Chanel yao basiii daahh natamani kuwaambia watoe but najitahidi kujizuia ili tu kuheshimu matakwa yao ...lakini sionagi jipya ..
station ikianza project zao za malkia cjui kafnyaje kutwa nzima huwa wanaonyesha hiyo project tu "" kwakweli wanakera mnoo
Hao jamaa they are so selfish yaani kila kitu kwao fursaMi naona Redio ya clouds ni kundi LA wahuni tu.... Wanawatumia wasanii wetu kwa manufaa binafsi then wanawaacha solemba. Mwaka Jana mwishoni wamemtumia Saida carol, Mwaka huu wameanza na Aslay na Nandi, sasa hivi wako na Papi Kocha na Nguza Vikings.... Who's next?
Kweli wewe zuzu. Unamfananisha Kim ambaye anacheza kimataifa na Wema? What a joke!Wema Sepetu kwa bongo na level ya nchi...
Kim Kadashian kwa level ya Marekani.
Come again, Kim ana followers zaidi ya 100M.... Na hana cha zaidi anachifanya. Umaarufu aliupata baada ya kuachia sex tape yake
Capacity yako ya kuelewa ni ya chini sana! Kwani vituo vingine hawafanyi matangazo? Hoja hapa ni BALANCE BALANCE BALANCE!Wasipo piga matangazo wewe utawasaidia kuwachangia operating cost ya kuendesha kituo chao?
Inatakiwa balance, wamekuwa watumwa wa advertisers kupita kiasi na kuwakera wasikilizaji!Kweli radio ina matangazo mengi sana kiasi kwamba yanaboa wasikilizaji
Ila ndo biashara yenyewe