Hivi ni sifa au nini?

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,743
Reaction score
8,802
Habari wanajamvi?
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la kujisifia kula 0713. Ukisoma thread nyingi sana zinazohusu mahusiano lazima utasikia tu nakulaga siku moja au vinginevyo.

Kinachonishangaza mnakubaliana huko wawili tu kulana t.go sasa unapokuja hapa mtandaoni kujisifia umekula na huko mlifanya siri ni kipi? Kwamba kula t.go ni ufahari? Ujanja? Utaalam? Au vipi?

Kama kula t.go ni ujanja mbona sijaona mtu akijisifia jana nimeliwa kiboga baada ya kufumaniwa?
Nisaidieni mawazo yenu mi sijaelewa hapa lengo la kujisifia ni lipi?
 
Kawaida sana mbona uitoke moshi mdomoni kama kiwanda cha nuclear.....

wewe hujawahi kujaribu nini? kajaribu alafu ulete mrejesho?
 
Usishangae....ni mbinu mpya inayotumiwa na mashoga/mabasha kuhamasisha jamii ione ni kama jambo la kawaida tu....wako kazin ivoo
 
Kutokuwa na hofu ya mungu na wala c sifa ni upuuzi tu
 
ngoja wa akina dada waje watuthibitishie kama ni ufundi, ujanja au kitu gan
 
Ni Ushamba, utoto na ufinyu wa akili.
Me mwenye kujielewa hawez kuleta upuuzi wa naman hyo hapa, sanasana ukifatilia utakuta ni vitoto na ndiyo vinajifunza mapenzi.
 
tigo ni ya enzi na enzi japo vijana wa kileo wanaonaufahari kuonekana wadau wa mtandao huo.
 
Ila wadada wenyewa jamn ndo chanzo,sijui nani kawadanganya kuwa kufanya uovu huo ni ujanja.Hakika me nina ushahidi wa hili 100%
 
Story nyingi za ti go ni za uongo,, na wengi wanaokuja na story hizo ni member wa kudumu CHAPUTA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…