Hivi ni sawa jamani?

bcsolution

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
394
Reaction score
177
Mzozo mkubwa hapo ... jamaa alikuwa anapakia mzigo hapo wakampiga pini ... je ni sawa?
 

Attachments

  • 1396255277447.jpg
    71.4 KB · Views: 154
  • 1396255303395.jpg
    51.9 KB · Views: 134
  • 1396255329900.jpg
    75.6 KB · Views: 123
Hapo ni mtaa wa lindi na sswahili kariakoo gerezani ...
 
Hao watu wote wanashangaa nini au ndio kusema hawana kazi ya kufanya ? By the way inategemeana umepaki sehemu ambayo imekatazwa na wewe aujajua Pole sn mkuu najua kibongo bongo mtamalizana tu ila usilete utemi.
 
Sio sawa, mwenyewe si yupo hapo hapo muda wa tukio - ni kiasi cha kumfahamisha usipakie mzigo hapa, atakapopingana na kauli kitachofuata ni pini

Sababu alishatahadharishwa akakiuka
 
Leo tena ...hawa jamaa wa parking imekuwa kero kwa sababu huwa wanajificha ili mtu apaki wampige pini, alama wamezitoa zilikaa siku 2 tu zikayeyuka.
 

Attachments

  • 1398328160555.jpg
    69.4 KB · Views: 51
  • 1398328196442.jpg
    74.9 KB · Views: 49
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…