Hivi ni mimi Naefahamu Ubora wa Mwanamuziki Simi mbele ya Yemi na Tiwa?

Pass Master

Member
Sep 18, 2020
94
58
Africa imenyamaza,Macho na akili zinautazama mziki wa Yemi Alade na Tiwa Savage kama Makwin wa mziki wa Afrika..


Hivi ni mimi Naefahamu Ubora wa Mwanamuziki Simi mbele ya Yemi na Tiwa???


Kuna midundo ya Simi kama..

Jericho ambayo Patoranking alipewa shavu mule ndani..

Joromi,Ayo,Love Don't Care,

Baadae Doyin mule ndani alikuwemo mtu mzima Mr Eazi bonge la hit..


Falz aliwahi kumpa shavu Simi kwenye Mikwaju kama Chemistry,.


Yote 9,10 ni ile kete inaitwa Soldier ya Falz na Simi,Simi aliumiza sana hii inatokana na sauti nzuri aliebarikiwa(Rihanna wa Afrika).


Duduke Mdundo ambao ni gumzo mdundo ambao Simi alifanya vizuri Aliimba sana..

Rudi kasikilize No Longer Beneficial,Na hii EP yake mpyaπŸ”₯


Naomba ziache zote hizo ngoma tumia dakika 3 na sekunde 50 kusikiliza Ngoma Inaitwa Know You Ni ya mtu mzima LADIPOE FT SIMIπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ


Hivi mnamuelewa Simi???
 

Attachments

  • download (1).jpeg
    7.9 KB · Views: 5

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…