Sasa kwa nchi kama Tanzania, chini ya utawala wa CCM hiyo furaha unaipata wapi? Labda uwe mfanyabiashara mkubwa, au kada mwenye nafasi kubwa ndani ya chama, au serikali!
Kinyume na hapo, basi ni kilio tu kupitia tozo na kodi zisizo na kichwa, wala miguu.