Hivi ni halali kumuadhibu mwanafunzi kwa kosa la mzazi?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,712
9,791
Yaani unakuta mwalimu anamuadhibu mwanafunzi na baridi hili kwa kosa la eti mimi mzazi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha wazazi.

Ama mwanao anaadhibiwa kisa wewe umeshindwa kufuata taarifa ya Masomo ya mwanao (Report)

Ama aadhibiwe kwa kuwa hujatoa hela ya mchango wa ujenzi wa darasa.

Hivi hii ni haki kweli?
 
Walimu sometimes wanakuwa na tabia za ki$h3nz! sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…