HIVI NDIVYO TIGO WANAVYOIBIA WANANCHI

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,121
Reaction score
38,519
Nnimekopa muda nkambiwa NA sec kadhàa ntalipa 350. Nikiweka salio

Gafla naongea simu imekata..natumiwa msg nimebakiza sec 61

Nikipiga aiendi tens ..hivi hizi 61 mnapeleka wapi ama aazikuwepo kwenye mkopo mliotoa

Mnaposema una sec 300..unankatia nakudai zimebaki 61 niongeze...mmenipa 300 ama 239

Kwaninii msiwe WA kweli tu jamann mpaka aibuu

Hii n kwa mie WA sec 300

Ao WA sec 5000 simnabakigi NA sec 1000 ama??tubadlike jaman
 
Huu mtandao unaoanza Na 0713 una matatizo makubwa sana, ndio maana me niumeupa likizo
 
Hawa jamaa wa mitandao ya cm hakuna mwenye afadhali, wote ni walewale wa kuja kuchuma na kufaidisha makwao, labda tupate mmatumbi atakaefungua mtandao wake kwa faida ya wamatumbi wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…