figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,956
- 63,761
Tunawatakia kila lenye kheri wote waliofanya interview. Tuamini kwamba vyuo vikuu ni taasisi zinazopaswa kutenda haki na hivyo ndivyo itakavyokuwa hapo UDOM!
Mbona usafiri wa daladala upo tele kituo cha jamatini kuelekea udom, tena muda wowote unapofika kituoni sh 350/. Kama umeamua kupanda taxi, boda, usilalamike ndo bei zake kulinganisha na umbali.usafiri ubungo-dodoma ilikuwa elfu25 sumatra walivyokuja tukfanyiwa elfu 15,guest house dodoma ilikua tabu.asubuhi kutoka dodoma mjini kwenda chuo taxi elfu15,bodaboda elfu5,udom cantini zimefungwa bado so mchana hamna kula na kunywa.kutoka udom taxi mnachangia buku3.kule udom ni noma.
HR walikuwa watu 1012 waliofanya interview lakini wanahitajika watu 12 tu.
Umekumbuka shuka asubuhi,nafasi zilitangazwa zilikua nyingi sana na sasa ni interview mzee!!!Kila la kheri wandugu.
Samahani, unaweza kunipa mchanganuo wa ajira ulivyo, i.e nafasi zipi wanaziomba.
Umekumbuka shuka asubuhi,nafasi zilitangazwa zilikua nyingi sana na sasa ni interview mzee!!!
duh, watu 1000 watatupwa nje? Duh! Probability ya kupata ni ndogo........sana.....HR walikuwa watu 1012 waliofanya interview lakini wanahitajika watu 12 tu.....