Watapigana vip wakati wapo kwenye rank tofauti na uzito tofautiMkuu kwanza unakosea sana kufananisha mpira wa miguu na ngumu.......... tofauti kabisa Al ahal hata akifungwa na ihefu bado atabaki bingwa wa Afrika lakini Mwakinyo akipigwa hata pambano lisilo na mkanda atapoteza mkanda
Kila bondia ana malengo yake ya kwenda juu
Mwakinyo sio kwamba anamdharau Kiduku kwa malengo yake na rekodi zake akipigana na akina Kiduku ana mengi ya KUPOTEZA kuliko KUPATA
Ni risk kubwa sana kuuweka mkanda wako rehani na kuaharibu rekodi yako kwa bondia uliyemuacha mbali sana kirekodi
Kwa namna yoyote ile Kiduku hana cha kupoteza zaidi ya kuongeza lakini Mwakinyo hana cha kuongeza zaidi ya kurisk
Ili kuja kuwa contender wa ubingwa wa dunia ni lazima uwe na rekodi ya kuwapiga mabondia wenye rank za juu........ndicho anachokilenga Mwakinyo kwa sasa na hata wakimpiga haita muathiri sana kama akitokea akapigwa na kiduku....... ngumu hazina adabu
Hata mimi natamani wapigane lakini malengo ya Mwakinyo ni zaidi ya matamanio yetu
Tulimwalibia Samatta kivipi...?Watanzania hatupendani ndio shida (wivu) Nyie ndio mlimharibia hata Sammata kule Aston villa
Unajua maana ya professional player..?Ni professional player hawezi kuja kupigana na utopolo wa mitaani akina kiduku na takataka zingine
Kwani mtoa maada kakosea wapi...?Mtoa uzi na wanamsapot wote wshamba na asili yao watu wa kanda ya ziwa na moshi au arusha
Mna chuki binafsi kisa ni mtu wa tanga kaaeni mtulie ngumi hamjui fuatilia pambano
Kaangalie la salim mtango kule nje TKO iliamuliwa vip
🤣🤣🤣in kashasha voiceMwakinyo alikuwa anapiga perpendicular na diagonal low cut hits, mpinzani wake alikuwa hana uwezo wa kurecover baada ya consecutive hits on a critical areas, inaitwa flawless victory🤣
Ngumu zipi zilimfikia kichwani sembuse mwilini?Ile inatwa technical knockout, sio lazima mtu aanguke kabisa. Mwamuzi akiona ngumu nyingi zinakufikia kichwani, zinakuhadaa na haujikingi vya kutosha wala kujibu mapigo basi anamaliza pambano. KO Vs TKO
Daaah una makwesheni ya Kikuda ***** [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngumu zipi zilimfikia kichwani sembuse mwilini?
😂 😂 😂 Mkuu unamaanisha jana angekufa?Kanusuliwa na referee maana alipotea balance ndio maana hajalalamika, professionally referee katimiza wajibu vizuri mno mno
Mshale tu boss ndo umeelekea kusiko, alimaanisha uangalie hapo panaposema 2009 hadi 2020.We ni hater tunawahitaji wajinga Kama wewe ili Mwakinyo apate mzuka zaidi!
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kwa wa bongo ni NO. Kiduku ni boya, kwa jinsi anavyopigana na Dulla Mbabe hawezi kusimama na HM.Mwakinyo asije akapigana na wabongo watakuja kumuua
Jamani boxing ina kanuni zake
Boxing ni BURUDANI na sio kuuana
Kama bondia anapigwa ngumu mfululizo bila majibu na amepoteza balance ni wajibu wa refarii kumaliza pambano, na sio kusubiri hadi bondia apate kipigo cha mbwa koko ndio amalize pambano hii sio vita
Maamuzi ya refa ni pamoja na kujaribu kuzuia maximum damage kwa bondia pindi anapokosa balance anaposhambuliwa
Waswahili walisemaga Nabii hakubaliki kwao.
Watu wanahoji ujinga mwingi sio kwasababu wameona kwa hakika refarii kampendelea Mwakinyo.......HAPANA
Wanahoji kwa sababu hawaamini kama Mtz annaweza kuwa bondia bora kwa level aliofikia Mwakinyo
Unapo angalia kitu kwa jicho la husuda, chuki, visasi hakika utaona kile tu unachokitaka........NEGATIVITY
Wengi wana muhukumu Mwakinyo kwa tambo zake lakini ukweli utabakia kuwa Mwakinyo ni BORA kwa alipofikia sasa, na sio kwasababu kabebwa au kaletewa bondia mchovu. .....UWEZO
Kuna watu wanachotaka wao ni Mwakinyo APIGWE TU ili wa mprove wrong kwasababu ya maneno yake ya tambo
Akipiga au akirusha? Maana pale mwakinyo amerusha ngumi zaidi ya tano hajampiga mpinzani wake kwanini asimamishe pambano?Ile ni TKO ndugu zangu.
Mtu akipigwa ngumi 5 bila kurudisha Referee au upande wake (kocha) wanaweza sitisha pambano.
Kumbuka pambano ya Wilder Vs Furry.
Referee wa Wlder ndio alisitisha pambano kwa kurusha kitaulo.
#YNWA
Umeeleza vizuri sana. Naunga mkono hoja yako.Jamani boxing ina kanuni zake
Boxing ni BURUDANI na sio kuuana
Kama bondia anapigwa ngumu mfululizo bila majibu na amepoteza balance ni wajibu wa refarii kumaliza pambano, na sio kusubiri hadi bondia apate kipigo cha mbwa koko ndio amalize pambano hii sio vita
Maamuzi ya refa ni pamoja na kujaribu kuzuia maximum damage kwa bondia pindi anapokosa balance anaposhambuliwa
Waswahili walisemaga Nabii hakubaliki kwao.
Watu wanahoji ujinga mwingi sio kwasababu wameona kwa hakika refarii kampendelea Mwakinyo.......HAPANA
Wanahoji kwa sababu hawaamini kama Mtz annaweza kuwa bondia bora kwa level aliofikia Mwakinyo
Unapo angalia kitu kwa jicho la husuda, chuki, visasi hakika utaona kile tu unachokitaka........NEGATIVITY
Wengi wana muhukumu Mwakinyo kwa tambo zake lakini ukweli utabakia kuwa Mwakinyo ni BORA kwa alipofikia sasa, na sio kwasababu kabebwa au kaletewa bondia mchovu. .....UWEZO
Kuna watu wanachotaka wao ni Mwakinyo APIGWE TU ili wa mprove wrong kwasababu ya maneno yake ya tambo
Uliangaliaje?Akipiga au akirusha? Maana pale mwakinyo amerusha ngumi zaidi ya tano hajampiga mpinzani wake kwanini asimamishe pambano?
Kwako mwalimu rip kashasha
Usiiongelee ile takataka bhanaWatanzania hatupendani ndio shida (wivu) Nyie ndio mlimharibia hata Sammata kule Aston villa
Mwakinyo ni mwambaMtoa uzi na wanamsapot wote wshamba na asili yao watu wa kanda ya ziwa na moshi au arusha
Mna chuki binafsi kisa ni mtu wa tanga kaaeni mtulie ngumi hamjui fuatilia pambano
Kaangalie la salim mtango kule nje TKO iliamuliwa vip
Kama ni hivo kwanini huwa bench la ufundi inaonyesha taulo sometimes wakati refa yupo?Jamani boxing ina kanuni zake