Hivi MKUKUTA umeishia wapi?

MKUKUTA + MKURABITA vyote kwa pamoja vimeishia kwenye makaratasi tu, hivi vitu vilikufa hata kabla havijaanza!!!
Kifupi vyote kwa pamoja ni JANGA LA KITAIFA

Duh!!...sasa ashitakiwe nani?
 
CCM @ work.

Kuna hii ya MKULAFILA -- hii ya mzee cameroon -- ha ha ha - kweli TZ ni pa kujifunzia kunyoa.
umekosea kuandika au vipi?...nini?
 
Dah!! Namkumbuka Mzee Fares Kabuye alipokuwa Mbunge wa TLP ya Mrema Jimbo la kule kwa Magufuli...... Huyu Mzee aliwaponda kishenzi wooote waliopigia debe utumbo huo wa Mkukukukukuta na Mkuraraarraabita na nini sijui.

Kweli ila sikumbuki
 

sasa hizi zipelekwe kwenye kamusi ya kiswahili.... OK?
 
MKUKUTA na mkwe MKURABITA waliza mtoto KILIMO KWANZA, na kutokana na uzee wameaga dunia na mtoto wao KILIMO KWANZA kabemendwa
 
...MKUKUTA na mkwe MKURABITA waliza mtoto KILIMO KWANZA, na kutokana na uzee wameaga dunia na mtoto wao KILIMO KWANZA kabemendwa

nafikiri serikari imetenga maeneo makubwa sana ya kilimo.... na itaweka mabilioni ndani ya miaka mi 5 ijayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…