Wewe ushasahau wale samaki! Magufuli alipuff nao wakapuff matokeo yake serikali ikaingizwa hasara. Jpm ni mchapakazi ila ni wa kuchunga asije akalisha kwenye shamba la jirani
Naamini wale Samaki Magufuli was right ila kwa vile bongo Ujanja ujanja mwingi ndio maana serikali ilishindwa. Ila kwa Utawala wa Magufuli hakuna meli itakuja tena kuvua kwenye eneo letu.Wewe ushasahau wale samaki! Magufuli alipuff nao wakapuff matokeo yake serikali ikaingizwa hasara. Jpm ni mchapakazi ila ni wa kuchunga asije akalisha kwenye shamba la jirani
Yaani huyu mtu anayeitwa Manji akimkalia vibaya JPM atarudi India kwa mashua.
Tangu 2007 .
Punguza hasira
Hah hah hapa kuna Peter Noni na hapa Manji,hapo ni EPA II tu Magu tuondolee ''EPAII''Ukweli uko hapa..huu mradi ulianza zamani na halmashauri haina pesa wa kuuendeleza....Kama hakuja manji kuwekeza atakuja Mangi au Jecha..wote Watanzania...na ingawa inasemwa hakuna kiingilio ..hilo ni siasa zaidi kwani hawa watakao endeleza eneo hili watataka kurejesha fedha yao. Investments yoyote inatazamwa ROI Ni kiasi gani kwa mwaka...
Enjoy Video Ya Coco beach Mpya kwa faida yenu. na tuache Kupiga porojo
<font size="3"><strong>
Yaani huyu mtu anayeitwa Manji akimkalia vibaya JPM atarudi India kwa mashua.
Tangu 2007 anaisumbua serikali kwa pesa zake alizowanunua waliokuwa mabwege ya Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni wakampa mamia ya ekari awekeze huko Coco Beach.
Hivi Manji anafikiri ile serikali ya kishkaji ya babake Riz1 bado iko kwenye system, hajui hata huyo Riz1 mwenyewe jipu lake linasubiriwa liive akamliwe.
Mpaka Rais anapoteza carories zake kutamka Yusuf Manji aachie huo ufukwe yeye hasikii anadhani atafua dafu na hiyo kesi yake aliyofungua mahakama ya ardhi? serikali ipo tena ya Magufuli si ya Kikwete. Atanyooka tu asidhani hiyo ni Yanga.
DU! kamanda huyu Manji na Riz naona ona hasira nao sana. kikubwa tunachoongalia ni utaratibu na sheria. kama wamebainika kuvunja sheria za serikari lazima watakuwa majipu matarajiwa lakni kama wanafanya shughuli zao kihalali upepo wa magu utawavumia pembembeni! Mungu ibariki Tz.