Mwenye kufahamu hili tujuzane maana misuko suko anayopitia kama bado diwani anapata muda muda gani wakusikiliza kero za wananchi wake maana kila kukicha kwake afadhari ya jana?
Wanamuonea nini? Humfaham manji wewe au umejitoa ufaham. Manji hamna anachoonewa.kwan hapa nchni mhindi ni yeye peke yake?uwe unauliza kwa wanaomfaham manj