Hivi mabinti 18-22 wanatatizo gani?

KABUGHA

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
351
Reaction score
1,004
Nlikua naongeza post tu. Mtanisamehe sema nna mpango wa kuanza kupost kama Lara1
 
Wee ci mwalimu endelea kufundisha tu masomo yote!! Na hilo la kuwavua kyupi hovyo mabinti zetu
 
Hahaha. Jamaa unakula mzigo, halafu ndio unajiuliza maswali? Au point hapa ni kutuambia jinsi unavyopata action?
 
Yaelekea ww ndy unataka ushauri jinsi ya kuachana na hiyo tabia ya kuwalamba students wako.
Ni kwel students baadhi yao wameumbika na damu yako inachemka, lakini jambo muhimu ni kujitahidi kuithibiti tamaa yako. Ili ufanikiwe malengo yako!
 
Lengo lako ni kuutangazia Uma kuwa unajua sana kugonga watoto wa Shule....!!?? Bro huo ni Ushamba Unajishusha humu....watu wana ku devalue....
 
Inawezekana kweli mkuu?
 
Lengo lako ni kuutangazia Uma kuwa unajua sana kugonga watoto wa Shule....!!?? Bro huo ni Ushamba Unajishusha humu....watu wana ku devalue....
ndo ulivyowaza mkuu sema ahsante kwa comment kuna kitu nimejifunza
 
Wengi wetu tumeshatoka huko uliko wewe.
USHAURI: Acha kuwaharibu hao watoto na hata kama wanakupenda jitahidi uwashauri wazingatie masomo na kujali future zao. Kuwa mfano na Utabarikiwa mkuu.
 
Hivi hukuona aibu kupost? Rijali hawezi post kuwa anabadilisha watoto wa shule kiasi hicho. Hao watoto wala hawana miaka 22, wako 16-18 wachache sana ndo watakuwa wamevuka umri huo
 
Huyu ni mwalimu.

Wazazi wamemkabidhi awalelee watoto wao kwa upendo, nidhamu na maadili lakini yeye hajitambui mweeee!!!!

Wew mwalimu unaharibu watoto!! Nitakufuatilia
 
asante Madame..ungeongeza maneno kidogo,naamini ungesema kama SladeW!

hah hah hah hah hah.....acha hizo watoto wa watu wanataka Elimu ya darasani wew unawapa Mapenzi hah hag hah hah..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…