Kuna nini kwani hebu tuelezeSiyo rahisi kufanya kazi na Seif. Lipumba amevumilia ya kutosha sasa ameamua liwalo na liwe hata kama ni kugawana mbao.
Mbona kikwete hakumuonea aibu lowassa akamkataHawa ni maswahiba waliopambana bega kwa bega miongo miwili sasa! Yaani ni umri wa mtu mzima kufahamiana.
Binafsi japo aibu kidogo ingekuwepo kuanzisha mchakato wa kumwondoa mwenzangu katika mapambano.
Ila kwa maalim hilo halipo! Kisa kuna hatari ya kupoteza madaraka. Akwambie nani. Madaraka matamu sana.
Sio ajabu kwa haya kutokea baina ya maalim na lipumba!!
Hebu tupe reference kitu kama hiki duniani kimewahi kutokea wapi??Nakumbuka tu kua alitengua kujiuzulu kwake!