Chumba cha siri
Member
- Jun 27, 2012
- 17
- 7
Mala kwa mala nimekuwa nashangazwa na kile kinachofanywa na huyu mtu wa kule iringa maeneo ya isman hivi yuko kwa ajili ya maslahi ya nani pale bungeni maana kila hoja yenye maana kwa watanzania yeye anaipinga na kusema hiyo isijadiliwe
sasa kunamaana gani basi ya wabunge kuwepo pale maana ukiondoa bajet mambo mengine yote yako katika tume na mahakani?
hivi ni maslahi ya watanzania au ni maslahi ya serikari? ambayo anayasimamia kama ni ya watanzania ni kwa kiasi gani ametekeleza?
nakama ni kwa ajili ya serikali mwisho wa hiyo si ni kwa wananchi ambao wameiweka madarakani?..
MH.RUKUVI UNANINI?
huyu Lukuvi lazima 2015 tumng'oe M4C iende ismani lazima wananchi wataamka. nimeishi Iringa najua jinsi wakazi wa kule walivyokuwa wachapa kazi wakulima wazuiri wa mahindi lkn toka huyu mamluki lukuvi achukue jimbo, hakuna lolote l maana alilolifanya zaidi ya kuwaletea njaa tu
Hivi akina Mamwindi huko Ismani wamekwisha?
But the guy is STD VII leaver, tumsamehe, lakini pia tujisikitie kuruhusu AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA.
kweli siasa zimevamiwa jamani,yaaani mtu mzima na akili zako unasema lukuvi kapeleka njaa jimboni kwake,yeye ndo alisababisha mvua isinyeshe vizuri ama,tumia akili wew sio masaburi