Hivi wanawake wanavaa nguo ili kuwa'impress wanaume??au wanavaa nguo zao ili ziwapendeze............Ninamaanisha 'assume kungekua hakuna wanaume,wangeendelea kuvaa nguo za kubana,fupi sana,za kutamananisha etc...kama wafanyavyo hivi sasa??????????????
Kama guu lako lina manyoa kama mwanaume, au mwembamba kama ufito, mikovu ndio usiseme, ni lazima uvalie nguo ndefu ili zikustiri, mie kama nina mguu wa bia kitu soft, nimfichie nani?Kwaupande wangu nikiwa ndani kwangu namvalia yeye,nikiwa nje sivai kumfurahisha mtu sababu mwanamke kujistiri.....
wanaume wasingekuwepo....tungetembea uchi kupata upepo....
mnatubana sana.....hatupumui hata tone....
... Du! - yashakuwa hayo! .. basi napita!
... Du! - yashakuwa hayo! .. basi napita!