mimi nashirikiana na mume wangu kwa kila kipato tupatacho,nikijidai changu ni changu chake ni chetu itahamia nyumba ndogoo hahahah easy to control his poket nikiweka mezani naye anaweka tunabagain hii ndio maisha wandugu au sio my big brother
HorsePower