Chukua kinywaji naja kulipa mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mfanye wa kwako awe softi. Ni rahisi tuu.
Mpeleke akafanyiwe massage ya ngozi ( hapa wataalam watajazia nyama)
Mnunulie lotions za kusoftisha ngozi.
Mhimize kufanya mazoez ya viungo kurekebisha umbile na kulainisha mwili.
Jitahiidi kumnunulia chakula bora.
Mwepushe na kazi ngumu ngumu za mikono.
Be problem solver, acha kulalamika lalamika
Usishangae mtoa mada hatoi huduma yoyote hata y kununua vilainishi kwa mwenzi wake, ila anataka ulaini wa ngozi...Screpa,
Mwanamke ni matunzo. Kubali kuumia ili umuweke soft. Hakuna linaloshindikana mzee baba.
Ukishapenda, timiza wajibu ila usifanye wajibu wa kukuumiza.
Dawa yake ni kumpiga zawadi za vipodozi tu, ila kama ni demu/mke wako.
Ila kama mmekutana tu njiani au ni yule wa siku moja tu, utabaki na maumivu wakati wa kutomasana.
Pole kama yamekukuta.
Nimekuelewa mno mkuuMfanye wa kwako awe softi. Ni rahisi tuu.
Mpeleke akafanyiwe massage ya ngozi ( hapa wataalam watajazia nyama)
Mnunulie lotions za kusoftisha ngozi.
Mhimize kufanya mazoez ya viungo kurekebisha umbile na kulainisha mwili.
Jitahiidi kumnunulia chakula bora.
Mwepushe na kazi ngumu ngumu za mikono.
Be problem solver, acha kulalamika lalamika
Nalo neno shooYani ndo nyie mnatakaga mwanamke apendeze halafu hamhudumii,ukitaka msoft mnunulie lotion za kumsoftisha
Thanks mkuu. Nimechukua balimi kadhaa hapa.Chukua kinywaji naja kulipa mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]