Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 818
Angalia BRT ilivyonyooka mpaka mjini, baadala ya kudeal na mafuriko kipindi cha mvua tungekua tunapita juu kwa juuMMMH AISEE, NAJARIBU KUWAZA MIUNDO MBINU YA DAR
MIUNDO MBINU YA DARISALAMA NI SUPPORTIVE?angalia BRT ilivyonyooka mpaka mjini, baadala ya kudeal na mafuriko kipindi cha mvua tungekua tunapita juu kwa juu
gharama ya BRT ni kubwa zaidi kutokana figuresMonorail siyo rahisi kujenga kama unavyofikiri, kujenga infrastructure mbali na ardhi ni gharama sana kuliko kwenye ground level
Una interconnect vipi na mifumo mingine ya usafiri?barabara za kawaida, mfano phase one imeenda kariakoo, kivukoni na morroco na hiyo inapita kwene single rail huoni kama kutakuwa na changamoto?hiyo inaitaji one way kwa upeo wangugharama ya BRT ni kubwa zaidi kutokana figures
Nimeona ya Daegu south korea, ni km 23+, wametumia dola milion 400, kuna vituo 30, sisi hapo phase ni chini ya km 15 kama tutanyooka kutoka stendi ya mbeziUna interconnect vipi na mifumo mingine ya usafiri?barabara za kawaida, mfano phase one imeenda kariakoo, kivukoni na morroco na hiyo inapita kwene single rail huoni kama kutakuwa na changamoto?hiyo inaitaji one way kwa upeo wangu
Kila kituo uweke vituo vya ghorofa
Napata taarifa kwamba BRT phase 1 ilitumia zaidi ya dola milioni 160, sasa kwanini UDART wasingetengeneza monorail tu kutoka Mbezi mpaka Kariakoo ambayo gharama yake ni ndogo zaidi? Hela ambayo ingebaki ingetumika kuongezea umeme utakaotumika kwenye monorail.
Budget ya Hitachi Monorail, reference Daegu Monorail LINE3 South Korea
tungesahau shida ya usafiri wakati wa mvua