Bwana uber
Member
- Jul 30, 2018
- 22
- 33
elimu ya prof ni steji kubwa sana ambayo umemaliza steji zote za elimu au kuwa na jambo jipya ambalo watu wakakupa cheo kwenye kiwango cha elimuNaomba niende moja kwa moja kwenye mada,,.
Kwautafiti mdogo ambao nimeufanya nimegundua maprofessor wengi ni wazee,vijana ni wachache mnoo.je
-nikwamba elimu ya wazee hawa ambao ndo wengi ni maprofessor ilikua rahisi kipindi hicho kuliko elimu ya sasa hivo ilikua rahisi kuupata uprofessor?
-au wazee hawa wana akili nyingi kuliko vijana ambao kwa sasa ni nadra sana kusikia kijana msomi ni professor ,wengi wanaishia kuwa madoctor tuu?
Tatizo ni nini?
wakati us proffesor ni mwalimu tu, mfano Prof Ras Simba, kwetu ni msomi aliyepitia tabu saana hadi vipara kisa kubukua.
It seems wewe huna ABC of academician life! Uprofessoe siyo kura za ndio au hapana! Wakishapiga kura ndiyo umekuwa Prof, NO!Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,,.
Kwautafiti mdogo ambao nimeufanya nimegundua maprofessor wengi ni wazee,vijana ni wachache mnoo.je
-nikwamba elimu ya wazee hawa ambao ndo wengi ni maprofessor ilikua rahisi kipindi hicho kuliko elimu ya sasa hivo ilikua rahisi kuupata uprofessor?
-au wazee hawa wana akili nyingi kuliko vijana ambao kwa sasa ni nadra sana kusikia kijana msomi ni professor ,wengi wanaishia kuwa madoctor tuu?
Tatizo ni nini?
Mfano wewe ni kijana wa leo,una chochote cha kukuhamasisha toka kwa mapropesa km lipumba,kitila mkumbo,kabudi nk?Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,,.
Kwautafiti mdogo ambao nimeufanya nimegundua maprofessor wengi ni wazee,vijana ni wachache mnoo.je
-nikwamba elimu ya wazee hawa ambao ndo wengi ni maprofessor ilikua rahisi kipindi hicho kuliko elimu ya sasa hivo ilikua rahisi kuupata uprofessor?
-au wazee hawa wana akili nyingi kuliko vijana ambao kwa sasa ni nadra sana kusikia kijana msomi ni professor ,wengi wanaishia kuwa madoctor tuu?
Tatizo ni nini?
Uprofesa kwa Tanzania...Mwenye uelewa wa kutosha wa mtu ku-qualify kuwa prof atuwekee humu. Mchakato wa mtu awe prof ukoje kwetu hapa Bongoland
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfumo wa vyuo vyetu kwa sasa, ili uwe professor, lazima kwanza uwe na PhD. Kwa uchache na mtu aliyeunganisha, PhD inachukua miaka 8 ( mitatu digrii ya Kwanza, miwili digrii ya pili na mitatu tena PhD yenyewe.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,,.
Kwautafiti mdogo ambao nimeufanya nimegundua maprofessor wengi ni wazee,vijana ni wachache mnoo.je
-nikwamba elimu ya wazee hawa ambao ndo wengi ni maprofessor ilikua rahisi kipindi hicho kuliko elimu ya sasa hivo ilikua rahisi kuupata uprofessor?
-au wazee hawa wana akili nyingi kuliko vijana ambao kwa sasa ni nadra sana kusikia kijana msomi ni professor ,wengi wanaishia kuwa madoctor tuu?
Tatizo ni nini?
Duuh, basi tunatofautiana uelewa, mimi nilidhani mtu yeyote mwenye PHD anaweza kuwa Prof, kwa kukamilisha idadi flani ya machapisho yake.elimu ya prof ni steji kubwa sana ambayo umemaliza steji zote za elimu au kuwa na jambo jipya ambalo watu wakakupa cheo kwenye kiwango cha elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Basic ni hiyo PhD then mtu anapanda kwa machapisho kwa hatua.Duuh, basi tunatofautiana uelewa, mimi nilidhani mtu yeyote mwenye PHD anaweza kuwa Prof, kwa kukamilisha idadi flani ya machapisho yake.
ahahaaaa siku hizi kuna elimu au kuna shule?Naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Kwa utafiti mdogo ambao nimeufanya nimegundua maprofesa wengi ni wazee,vijana ni wachache mno.
Je, ni kwamba elimu ya wazee hawa ambao ndo wengi ni maprofesa ilikuwa rahisi kipindi hicho kuliko elimu ya sasa hivo ilikuwa rahisi kuupata uprofesa?
Au wazee hawa wana akili nyingi kuliko vijana ambao kwa sasa ni nadra sana kusikia kijana msomi ni profesa ,wengi wanaishia kuwa madaktari(PhD)tu?
Tatizo ni nini?
Mwenye uelewa wa kutosha wa mtu ku-qualify kuwa prof atuwekee humu. Mchakato wa mtu awe prof ukoje kwetu hapa Bongoland
Sent using Jamii Forums mobile app