@majoki toka serikalini uje private uone watu tunavyochapa kazi, acha kufikiri na kuwaza kiccm. Wape watu ultimatum ya kazi wakimaliza waache fb na ku jf.

mkuu sio kila mtu kaajiriwa. ... dunia hii mobile internet ndiyo iliyotawala , gadgets zenye mobile net (androids) zimezagaa kila mahali sio lazima uwe ofisi ya kuajiriwa ndiyo uwe na access ya net. huku sisi enterpreneurs tupo busy huku tablet computers zetu zikiwa nasi

Hata huku jf kuna umuhimu wake. Bora kuja jf kuliko kusinzia ofisini kama kina Wasira.

Wengine hapa ndio wapo kazini kabisa na wamo kwny payrolls!we ndio unapoteza muda na kodi za watz!

Kwenye FB ni mwendo wa kusaka saka tutoto twa shule, vyuo na mimama ilizidi menopose.

JF hamna kuremba, ni nondo za uhakika na hamna longolongo, kama hamna longolongo muda utakao utumia JF hauzidi nusu saa kwa siku, labda uajiriwe na Nape kwa ajili ya kushinda JF 24/7