Hivi kuna wategea kazi maofisini kama members wa JF kweli?

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Leo nimekaa chini na kufikiri kwa makini nikajaribu kukumbuka na pale ofisini wanavyopambana na facebook kuzuia wafanyakazi ku concentrate na ma fb wakati wa kazi,ofcoz wengi hawana mwamko na jf...swali likaja kichwan mwangu kunaweza kuwa na watega kazi tanzania hii kama member wa JF kweli?,kwa sababu wengi hapa wanatumia internet za ofisini na wakati wa kazi traffic jam hapa huwa to the fullest

Me nadhan huku ni kutolitendea taifa haki watu hatutumiki ipasavyo,kazi tunapiga kwa kudonoa donoa tu hatupigi mzigo kisawasawa,na supervision ni mbovu sana huko makazini thats why

Kwenye FB ni mwendo wa kusaka saka tutoto twa shule, vyuo na mimama ilizidi menopose.
JF hamna kuremba, ni nondo za uhakika na hamna longolongo, kama hamna longolongo muda utakao utumia JF hauzidi nusu saa kwa siku, labda uajiriwe na Nape kwa ajili ya kushinda JF 24/7

Wengine hapa ndio wapo kazini kabisa na wamo kwny payrolls!we ndio unapoteza muda na kodi za watz!

Hata huku jf kuna umuhimu wake. Bora kuja jf kuliko kusinzia ofisini kama kina Wasira.

mkuu sio kila mtu kaajiriwa. ... dunia hii mobile internet ndiyo iliyotawala , gadgets zenye mobile net (androids) zimezagaa kila mahali sio lazima uwe ofisi ya kuajiriwa ndiyo uwe na access ya net. huku sisi enterpreneurs tupo busy huku tablet computers zetu zikiwa nasi

@majoki toka serikalini uje private uone watu tunavyochapa kazi, acha kufikiri na kuwaza kiccm. Wape watu ultimatum ya kazi wakimaliza waache fb na ku jf.

@majoki toka serikalini uje private uone watu tunavyochapa kazi, acha kufikiri na kuwaza kiccm. Wape watu ultimatum ya kazi wakimaliza waache fb na ku jf.

kaka kama unanijua vile unavyodai toka serikalini (avoid assumption mkuu),unatakiwa uwajibike masaa nane kwa siku ukimaliza kazi maanake nini...

mkuu sio kila mtu kaajiriwa. ... dunia hii mobile internet ndiyo iliyotawala , gadgets zenye mobile net (androids) zimezagaa kila mahali sio lazima uwe ofisi ya kuajiriwa ndiyo uwe na access ya net. huku sisi enterpreneurs tupo busy huku tablet computers zetu zikiwa nasi

kaka Majority hapa wapo maofisini na hao ndo ninaowaongelea,wewe mjasiriamali waweza fanya kazi hata masaa kumi na mbili si mali yako bana

• Thanks
Reactions: LAT
Hata huku jf kuna umuhimu wake. Bora kuja jf kuliko kusinzia ofisini kama kina Wasira.

hata me nautambua umuhimu wa JF lakini muda wa kazi? Yaan unatoka nyumbani kwako hadi ofisini kwa ajili ya ku JF na kufanya kazi kiduuchu ndo maana service zinadhorota kila mahali

Wengine hapa ndio wapo kazini kabisa na wamo kwny payrolls!we ndio unapoteza muda na kodi za watz!

suala sio kuwepo kwenye payroll kuutumia muda wa ofisi kwa issue zako pvt ndo uhujumu uchumi wenyewe huo,kila mtu akifanya hivyo wadhan wap hapatakua na mushkeli...Inaonekana unachojali wewe sio huduma unayotoa kutokana nautaalamu wako bali kipato kinachoingia mfukoni mwako

kila nikifungua jf ndo siku imeingia hivyo.......

mkuu naona unajiangalia wewe kama wewe,then now turn around jaribu kuangalia kwa mapana zaidi,me sijaongelea kwa mtu mmoja mmoja so you also dont do that

social networks contribution inategemeaana na mambo mengi kama kazi mtu anayofanya.ie ni mpokeaji wa wageni tu na kupost few records ktk pc anaweza kuwa active sana.pia kuna nyakati kama lunch tym watu wengine hawatoki ofcn kwa sababu hamna sehemu za kula ama wanafanya diet na wengine wanapiga neutral(dashdash) kwa ajili ya bajeti.pia wapo wanaokuwa na muda wakati wa likizo,wakati wa safari,boring home nk ukzingatia sio watu wote wapo kwenye time zone moja,sometimes wewe upo ofisini mimi ndo muda wa kulala nachungulia jf

Kwenye FB ni mwendo wa kusaka saka tutoto twa shule, vyuo na mimama ilizidi menopose.

JF hamna kuremba, ni nondo za uhakika na hamna longolongo, kama hamna longolongo muda utakao utumia JF hauzidi nusu saa kwa siku, labda uajiriwe na Nape kwa ajili ya kushinda JF 24/7

bujibuji kuna watu humu masaa sita JF mawili kazini

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom