Hivi kuna ukweli hapa kwa wadada

CUBICBOY

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
322
Reaction score
258
Habarini zenu wakuu kuna tetesi Nimezisikia mtaani kumbe wadada wengi wenye wowowo za kutengeneza hazitikisiki Kama zile original, naombeni mnithibitishie ilo wana MMU
 
Aseeh khatar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fanya mpango uwe unazitikisa utapata jibu
 
Hebu weka hata kapicha mkuu
 
Unamaana zinakuwa ngumu kama nazi au
 
Matatizo ya kula viporo mpaka weekend haya hahah....!!
 
Si uchunguze mwenyew si tutajuaje
 
Mkuu mwanamke anayeongeza makalio ,ujue mwili wako unaupungufu wa utengenaji mafuta!!!

Ngoja waje wakujibu.
 
Nimepishana na mdada wowowo linatingishika mpk nmejiuliza maswali magumu mwnyw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…