Okoka leo, maisha baada ya kifo yapo, ya mateso au ya kupumzika kusubiri siku ya mwisho. Yesu Kristo mwenyewe alithibitisha hili kwa kutoa mfano wa LAZARO na TAJIRI. jambo linalothibitisha kwamba, kumbe baada ya mwili huu kufa, roho ina maisha mengine huko, kitakachodetermine wapi unaenda ni kama ulimpa Yesu Kristo maisha yako hapa duniani, yeye ndiye njia kweli na uzima, hupati uzima wa milele bila kupitia yeye, yeye pekee ndiye aliyemwaga Damu ya ukombozi kwa ajili ya ondoleo la dhambi ili mtu atakayesafishwa astahili kuingia uzima wa milele, mitume wengine wote hata waseme maneno gani hawajamwaga Damu, hawajatoa kafara, wanakuletea maneno matupu, ila Yesu Kristo alikufa kwa ajili yako, amekupa mbele yako mlango wa uzima uchague kuingia au ubaki mautini. soma jinsi Biblia ilivyosema hapa chini:Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Ndio wewe utaacha uzao wako baada ya kufa hayo ndio maisha baada ya kifo, nyingine ni hekaya TU za kiimani Ila ukishazalishwa watoto kadhaa ukaacha uzao wako hayo ndio maisha yako baada ya wewe kufa utaendelea kuishi kupitia uzao wako lakini wewe hautakuwepokuna maisha baada ya kufa
Nipe namba ya simu ya huyo aliyekwambia kuna maisha baada yaHabari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
ndugu usijidanganye, sio hekaya, baada ya kifo kuna maisha, mazuri au mabaya kutegemeana na jinsi ulivyoishi hapa duniani. kibaya zaidi hatujui lini tutaondoka ili tujiandae, huwa inakuja ghafla ndio maana tunatakiwa kukesha tukiwa tumejiandaa kwasababu hatujui siku wala saa.Ndio wewe utaacha uzao wako baada ya kufa hayo ndio maisha baada ya kifo, nyingine ni hekaya TU za kiimani Ila ukishazalishwa watoto kadhaa ukaacha uzao wako hayo ndio maisha yako baada ya wewe kufa utaendelea kuishi kupitia uzao wako lakini wewe hautakuwepo
Unaweza kuthibitisha hayo maisha baada ya kifo yapo na si mawazo yako ya kufikirika tu?ndugu usijidanganye, sio hekaya, baada ya kifo kuna maisha, mazuri au mabaya kutegemeana na jinsi ulivyoishi hapa duniani. kibaya zaidi hatujui lini tutaondoka ili tujiandae, huwa inakuja ghafla ndio maana tunatakiwa kukesha tukiwa tumejiandaa kwasababu hatujui siku wala saa.
LUKA 16:19 - 31 kwenye Biblia, Yesu alionyesha kwamba yapo.Unaweza kuthibitisha hayo maisha baada ya kifo yapo na si mawazo yako ya kufikirika tu?
Mkuu,Hyo ni mafundisho ya DINI.Swali JE Maisha ni nini?Umilele ni nini?Je unapokuwa katika Moto wa Milele una uhai au unakuwa umekufa?Na Huko kwenye Uzima wa Milele unakuwa unafanya nini?ndugu maisha baada ya kifo yapo. kuna umilele baada ya haya maisha ya duniani binadamu huishi milele. maana binadamu ana roho ambayo haifi kinachokufa ni mwili.
umilele wa binadamu baada ya maisha hapa duniani hutegemea sana alivyoishi hapa duniani na kuna sehemu mbili tu ambazo mwanadamu anakwenda baada ya maisha hapa duniani. ni either uzima wa milele au moto wa milele.
Mtu asemaye kuna maisha baada ya kifo, hana tofauti na mtu asiyeelewa maana ya neno kufa.Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Roho ni kitu gani?ndugu maisha baada ya kifo yapo. kuna umilele baada ya haya maisha ya duniani binadamu huishi milele. maana binadamu ana roho ambayo haifi kinachokufa ni mwili.
umilele wa binadamu baada ya maisha hapa duniani hutegemea sana alivyoishi hapa duniani na kuna sehemu mbili tu ambazo mwanadamu anakwenda baada ya maisha hapa duniani. ni either uzima wa milele au moto wa milele.
Absolutely trueYou had no life before life but you want to have life after life in imaginary places..!!
You cannot wish for a house of gold in heaven while you have never touched gold right here on earth.
If you fail to live on earth the fantasy of heaven is an illusion.
Hakuna maisha baada ya kufa.
Ukifa unakwenda kuwa chakula cha bacteria una decompose na kuwa underground soil...
unafikir hiyo life ambayo hukuwa nayo kabla ya life. uliitaka? au unafikir imekuja coincidence tu!.You had no life before life but you want to have life after life in imaginary places..!!
You cannot wish for a house of gold in heaven while you have never touched gold right here on earth.
If you fail to live on earth the fantasy of heaven is an illusion.
Hakuna maisha baada ya kufa.
Ukifa unakwenda kuwa chakula cha bacteria una decompose na kuwa underground soil...
Either ni mafundisho au lah ila kujibu swali la maisha ni nini? lazma uelewe wewe ni nani?. ( note.sijauliza jina lako wala personality yeyote kwako)Mkuu,Hyo ni mafundisho ya DINI.Swali JE Maisha ni nini?Umilele ni nini?Je unapokuwa katika Moto wa Milele una uhai au unakuwa umekufa?Na Huko kwenye Uzima wa Milele unakuwa unafanya nini?
So Unamaanisha kwamba Hapa Kwnye Dunia Tupo Shule then kuna mtihani tukifaulu tunawekwa kundi jingine na tukifeli kundi jingine?Kwamba Baada ya maisha hapa Duniani tutapewa matokeo ya Maisha yetu?Nafikiri aliyeuliza swali hakuwa anahitaji mafundisho ya DINI yy alitaka kujua JE mtu akifa akazikwa kuna maisha?Je ni ukishakufa hakuna Maisha kama unavyoyafahamu au tunavyoishi.Ila sio kwamba Unaacha kuwepo.Mwanadamu yupo,alikuwepo na atakuwepo.Swala la JINSI na namna ya UWEPO kabla na baada ya Maisha ya duniani bado ni swala ambalo linahitaji utulivu kulielewa ILA BAADA YA KIFO KUISHI KUNAISHA
wewe ni nani. note Smotor linaweza kuwa jina lako na ukifa ukawekwa kwny sanduku tutasema ule ni mwili wako je wewe uko wapi hapo?.Roho ni kitu gani?
Unaweza thibitisha uwepo wa hiyo roho kama si hadithi za dini na imani tu!?
umezungumza sawia kabisa mwili sasa huyo mtu yuko wapi kama mwili wake unaenda kushambuliwa na bakteria huko ardhini.Mtu asemaye kuna maisha baada ya kifo, hana tofauti na mtu asiyeelewa maana ya neno kufa.
Kwa dhana ya viumbe hai,
Kufa maana yake ni mwisho wa kiumbe hicho kuishi (mwisho wa maisha)
"Nafikiri mwili wa kiumbe hai ni sawa na kompyuta,
Kompyuta itaacha kufanya kazi pindi ambapo moja ya kifaa chake kitaharibika.
Hakuna mbingu wala maisha baada ya kuharibika kwa kompyuta hiyo.
Habari za mbingu na kuzimu ni hadithi za watu wanaoogopa giza. "
.... Mwili ni sawa na computer.. je wewe ni mwili?Mtu asemaye kuna maisha baada ya kifo, hana tofauti na mtu asiyeelewa maana ya neno kufa.
Kwa dhana ya viumbe hai,
Kufa maana yake ni mwisho wa kiumbe hicho kuishi (mwisho wa maisha)
"Nafikiri mwili wa kiumbe hai ni sawa na kompyuta,
Kompyuta itaacha kufanya kazi pindi ambapo moja ya kifaa chake kitaharibika.
Hakuna mbingu wala maisha baada ya kuharibika kwa kompyuta hiyo.
Habari za mbingu na kuzimu ni hadithi za watu wanaoogopa giza. "
Unaweza kuthibitisha ni nini kilifanya tuwe na maisha?unafikir hiyo life ambayo hukuwa nayo kabla ya life. uliitaka? au unafikir imekuja coincidence tu!.
Wewe umekufa au upo hai na kama upo hai dhibitisha,Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Quran hapanaSoma bible na Quran