mmh unakazi tatizo unapenda size ambayo siyo yako... wanawake tupo kwenye grade babu eeh unampenda miss chagga anataka kila siku uweke laki mezani utafikiria we ulipta mgao wa escrow usipotoa nakuacha.... baba tafuta wa grade yako unavyoonekana utakaiwa upende wanawake simple siyo wazuri saana wala siyo mbaya saaana lafu asikuzidi la sivyo utachezea kibuti mpaka unuke vibuti maoni yangu hayo
Dah!,umejuaje halafu kama nakupenda sana,ila hicho kipengele cha kuweka laki mezani kila siku sikiwezi ni bora nimpelekee babu hiyo laki anipe dawa ya kumvuta mpenzi,nikuvute vizuri kwenye himaya yangu,,,hilo swala la wanawake wa grade silikubali wala nini,ninachojua love doesnt ask why?,mapenzi hayana sababu kama mtu amekupenda2 wala haangalii chochote,ndo maana hata"Rihana"aliwahi kupigwa mambo na mchizi wa kitaa2 huko marekani na "Jenipher lopez"aliwahi kutembea na mcheza shoo wake,mifano ipo mingi sana!!,love is blind!
lol Nimtakae hataki, nisomtaka yu hoi hadi anakupa dhiki nyumbani kwao hakai..........
Kwani huyu mwanamke unaemtaka yukoje na ananini? na usie mtaka nae yukoje na anakosa gani?
mmh unakazi tatizo unapenda size ambayo siyo yako... wanawake tupo kwenye grade babu eeh unampenda miss chagga anataka kila siku uweke laki mezani utafikiria we ulipta mgao wa escrow usipotoa nakuacha.... baba tafuta wa grade yako unavyoonekana utakaiwa upende wanawake simple siyo wazuri saana wala siyo mbaya saaana lafu asikuzidi la sivyo utachezea kibuti mpaka unuke vibuti maoni yangu hayo
Heeeeee!!!!!! Uuuuuu!!!!!! ha ha haaa haaa! jamani namuonea huruma mimi jamani khaaa!!!! huna hata neno la kufariji????
Ushauri wangu huu hapa.
View attachment 225450
Dawa yao hii hapa
View attachment 225451
Zaidi hapo chukua ujumbe huu
View attachment 225452

Mkuu,naona labda hujanielewa pesa za kuhonga wanawake ni nazo,tatizo sio pesa,hoja yangu ni nao wapenda hawanipendi nisio wapenda wananipenda mpaka bac,labda ungeniambia tatizo nyota ningekuelewa lakini sio pesa hata hivyo money can buy sex not love!!

Nimejibu pande zote, kama hupendwi na unaowapenda jizoeze kuwapenda wanaokupenda dogo.
Kama pesa ipo miss chaga anakupenda mrushie sasa hivi ka laki ya BATOOK na ki air time cha 500000, uone kama hujaamia paradiso ya mahaba.
Hiyo pesa ni ndogo sana kwa mwanamke ninayempenda naweza kumpatia zaidi ya hiyo lakini ikumbukwe kwamba hakuna pesa ya bure labda iwe msaada,anatakiwa afanya kazi kwanza yakunipenda ndipo nami nimlipe kwa upendo kwa kumpatia dollars,zaidi ya hapo labda awe super bitch nimnunue kwa usiku mmoja2!
Pesa Huna, Na Kama Unazo We Bair, Unaempenda Ukifungua Poch Automatcly Atakupenda Tu, Na Kwa Sasa Hutopata Mwanamke Bila Chapaa, Hata Kama N Kdogo Ujtahd, Na Ukimpata Bas N Yule Ameshapigika Mtaan Hana Pa Kwenda, Mapenz Ya Dhat N Zaman Sa Hv Mapenz Na Poch, Kuringana Na Saiz Ya Dem Mwenyewe
Kama kuna ukweli vilee?, na hata hizi ndoa kila siku visa ni kwa sababu watu walichagua oversize?kupiga na kusepa ni sawa mkuu ... kubali ukatae wanawake bana tunamengi moyoni kama siyo size yangu aisee utachezea matukio mpaka ukome
Kama kuna ukweli vilee?, na hata hizi ndoa kila siku visa ni kwa sababu watu walichagua oversize?
Aweje namanisha awena tabia zaiana gani au kitu muhimu kwako wewe kama binadamu kupi mpenzi wako akiwanachoMkuu mapenzi ni kitendawili ukitega mpaka umpate wa kutegua,mapenzi ni jambo la kihisia zaidi sio la kimaumbile so siwezi kuelezea zaidi mwanamke ninayempenda anatakiwa aweje!!