Imenitokea mara nyingi sana na huwa najibu kuwa sijawahi kukupigiaSijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.
Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .
Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.
bora hata wew mim nlikuwa na mtu kwenye gar ambaye tunafahamiana simu yangu ipo mfkoni yake anachezea akawa ananambia mbona nampigia mie nkajua utani kucheki sinu yake ni kweli inaita kwa namba na jina languSijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.
Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .
Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.
Imenitokea mara nyingi tuu,na mtu akishaniambia hivyo huwa nakata simu akiendelea kupiga piga anakula block... sijui inakuwaje jamanii,Sijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.
Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .
Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.
Mkuu hilo la kwanza, la pili ni kwamba, yaweza kuwa 'mbaya wako' anakutress ili kujiridhisha na mambo flani flani yanayokuhusu anayoyafuatilia kwako.Sijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.