KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Wana wa familia ya JF mambo vipi?.Hii ni kwa jisia zote ME na KE.
Mko chumbani usiku mmepumzika kila mmoja akiwa anamuahidi mwenzie ahadi tamu tamu juu ya kulitunza na kulienzi penzi lenu na ahadi nyingi za kufarijiana, pembeni yenu mezani mkiwa mmefungulia redio kwa sauti ya kadri na kipindi kilicho hewani kwa wakati huo ni cha LOVE NIGHT cha kutakiana njozi njema na kheri katika mahusiano ya mapenzi.Mkiwa mmelala japo si usingizi huku mmekumbatiana mara unasikia kwenye redio mtangazaji anasoma ujumbe wa fulani bin fulani wa sehemu fulani anafanya kazi katika kampuni/shirika fulani akisema namtakia njozi njema mpenzi/mchumba wangu fulani akiwa sehemu fulani namwambia nampenda sana mwezi wa 5 tutaitwa mke na mume.Kama ni wewe likikupata hilo utachukua uamuzi gani
tutaendelea kulala na kufanya tulopanga
asubuhi ndo tutaulizana ni nini kilichosemwa redioni
Hahahaha. . unampa hongera alafu kesho asubuhi unamwachia kiNOTE cha kumtakia kila la kheri na maisha ya ndoa yanayomsubiria.
Michelle dear, hata kama unampenda, ikwa yeye hakupendi au hana mpango nawe kwa maisha ya baadae, mwache aende, si wako huyo. Bado unapaswa kumshukuru Mungu kwa wema aliokufanyia.Hata ka unampenda sana dearest??
Hata ka unampenda sana dearest??
Wana wa familia ya JF mambo vipi?.Hii ni kwa jisia zote ME na KE.
Mko chumbani usiku mmepumzika kila mmoja akiwa anamuahidi mwenzie ahadi tamu tamu juu ya kulitunza na kulienzi penzi lenu na ahadi nyingi za kufarijiana, pembeni yenu mezani mkiwa mmefungulia redio kwa sauti ya kadri na kipindi kilicho hewani kwa wakati huo ni cha LOVE NIGHT cha kutakiana njozi njema na kheri katika mahusiano ya mapenzi.Mkiwa mmelala japo si usingizi huku mmekumbatiana mara unasikia kwenye redio mtangazaji anasoma ujumbe wa fulani bin fulani wa sehemu fulani anafanya kazi katika kampuni/shirika fulani akisema namtakia njozi njema mpenzi/mchumba wangu fulani akiwa sehemu fulani namwambia nampenda sana mwezi wa 5 tutaitwa mke na mume.Kama ni wewe likikupata hilo utachukua uamuzi gani
Hahahahah!tutaendelea kulala na kufanya tulopanga