Hivi huyu nimfanye nini?

Yaani unajua kabisa mtu hana muda na wewe lakini unakaa moyo unakuuma weeee huku ukijipa matumaini hewa kwamba atakutafuta tu.

Penzi la kulazimisha na kujikombakomba huwa lina maumivu makali na yasiyoisha. Jifunze kuachwa ukaachika
Yaani maisha kama hayo wanayaweza, kujipa stress mie hapana, nitaulizia mara 2 ya 3 nafunga ukurasa naanza bila kugeuka sasa kubembeleza kama Mme/ mke upuuzi tu!
 
Dah....hebu acha ujinga.... miamala inasoma?[emoji2960]
 
Katakuwa ni katoto bado. Kana miaka mingapi? Niambie nitajua kama yupo matured au huyo ni wa kupita tuu...😂
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]amna kitu apo
 

Usije mjini
 
Not getting a message is also a message
Jiongeze mkuu, akufukuzaje hakwambii toka. Achana naye focus na mambo yako ya msingi
 
Yaani maisha kama hayo wanayaweza, kujipa stress mie hapana, nitaulizia mara 2 ya 3 nafunga ukurasa naanza bila kugeuka sasa kubembeleza kama Mme/ mke upuuzi tu!
Kusoma hajui hata picha haoni na haelewi
 
Nachopendaga aina hii ya kuachana ndo inaongoza KWA kupashaa kiporoooo

Yanii mnaachana Bila kuambiana chochote

RIP JPM
 
kuna time ikifika mwenzio akimwaga mboga wewe unamwaga ugali, maana yake nawewe usimtafute mpaka nawewe akutafute, binafsi nikikupigia simu usipopokea naweza hisi labda haupo mazingira rafiki au upo busy ila sikupigii tena mpaka wewe unipigie.
 
Cha kufanya mkuu we mpe MIMBA tu hakuna namna.

Akili itamkaa sawa.
 
Mzee kwani umezaliwa naye huyo? Usisubir hadi atamke sikutaki, anza kujiengua mapema.
 

Ana mpenzi wake au umemkera kitu au amegundua kitu kwako hajakipenda
 
Katakuwa ni katoto bado. Kana miaka mingapi? Niambie nitajua kama yupo matured au huyo ni wa kupita tuu...😂
Namimi nimehisi hivyo. Vitoto under 22 hasa vikishajijua ni vizuri zuri na vikaona wanaume wanaviita ita basi inakuaga taabu kweli kweli. Akili hua inaanza kurudi akishafika 25 ndio anagundua kumbe yeye si chochote si lolote.
 
Vitoto vya under.20 MNA TUSUMBUA SAANA JAMANI.....!
khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…