Hivi huyu nimfanye nini?

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Kabadilika sikuizi yaani ukimpigia simu hapokei, ukiingia Online Whatsapp unamuona. Anakupigia pale anapojisikia yeye, anakuuliza unaenda wapi unamwambia natoka naenda sehemu ananuna kwanini hujamwambia kama unatoka, unamwambia nimekupigia hukupokea analaumu ungetuma text unamwambia sijatuma cuz mekuona online unachat tena unapost had status uliona missed call why hukuanza kuniatafuta ndio uendelee na mambo yako, ananuna.

Je, nimfanyaje huyu mwanamke? Maana huku alipofikia sasa kama kazoea haka kamchezo anaona missed call anapotezea anakutafuta muda atakao yeye
 
Wanawake ni wengi sana kwenye hii dunia ya sasa.
Ukiona dalili zozote zile za mwanamke kukubadilikia basi tambua either wewe au yeye mmoja wenu hatimizi majukumu yake vilivyo. Lakini pia yawezekana amepata palipo nona
 
Mtu wako kajitwisha ndoo ya maji kichwani,mkononi ana kidumu sasa.
Hivyo basi mkono unapoelemewa yeye anapunguza maji ya kwenye ndoo kwa kuyamwaga kidogo kidogo

Mpaka kufika nayo home yapo nusu ya ndoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…