huyo yawezekana ana m2 au shughuli nyingi zinambana ndo maana haraka sana jaribu kuongea naye au 2mia hao marafiki zake na usiwe na haraka naye sana mpe mda wakutosha...
Tatizo ni wewe na sio yeye....unataka mkae vizuri kivipi tuambie wanajamii huenda hatujui wewe unataka ukae nae mikao gani hiyo ambayo wewe unaona mizuri...au unataka kumnyeta tu? sema watu wakusaidie ushauri...
Mie nadhani huyo binti anaepuka mazingira hatarishi ya kukaa wawili ambayo yanaweza sababishwa vishawishi vya kufanya tendo la ndoa, nakuomba uwe mvumilivu tu mfuatilie taratibu kama ni wako atakuwa karibu nawe kadri muda unavyoenda, Huwezi jua pengine huyo aliumbwa kwa ajili yako. Pia ni vizuri ukawa muwazi umweleze malengo yako kwake. kama ni kuoa au la
Haf nawe kaka mbona unakuwa na haraka mno yaani valentine imepita siku kadhaa! tulia na tafakari.
Tatizo ni wewe na sio yeye....unataka mkae vizuri kivipi tuambie wanajamii huenda hatujui wewe unataka ukae nae mikao gani hiyo ambayo wewe unaona mizuri...au unataka kumnyeta tu? sema watu wakusaidie ushauri...
Labda hujawa muwazi kwake,hajampa msimamo wako ni upi kwake.....KUNGURU MUOGA........!!!!!
bado mtoto huyo atakusumbua pia amelenga kukuchuna kwanza achana nae ila ukifanikiwa kula mara moja tuu yeye ndiye atakua anakutafuta kwa sasa yeye kashika makali