MWALIMU ZUBERY
Member
- Aug 4, 2015
- 9
- 2
kweli kabisaMi naona aibu utafikiri mi ndo nimeanzisha uzi. I think, Kuna haja kuweka kigezo cha umri 20+, ili mtu ajiunge jf.
Nimetafuta like sijaiona, but chukua MkuuMi naona aibu utafikiri mi ndo nimeanzisha uzi. I think, Kuna haja kuweka kigezo cha umri 20+, ili mtu ajiunge jf.
Wenzako wanahangaika na masomo we uko na mapenzi,,, mwisho wa siku hao wanaohangaika na masomo ndiyo watakaokuwa na uwezo wa kuwa na huyo msichana,,,wakati we
umeshafeli na unatembeza Karanga kwa kuwa muda wa huhangaikia masomo we unahangaikia mapenzi,,
Uamuzi wako siyo sahihi,,
Kuna msichsna nampenda sana tena zaidi ya neno lenyewe,kwa wasichana wa tanzania wakitaka waamini kuwa fulani ananipenda sana umtamkie kwa kingeleza "i love you so much$ harafu umpige busu basi hapo roho yake nyeupeee kama sañda........
msichana huyo tulimalaza kidato cha nne mwaka jana na sasa yupo shule tofauti na mimi....nilimtongoza na mara nyingi huwa ananizuungu sha lakini kwa ishara anaonyesha hali fulani.. japo hajanikubalia lakni mimi naona kama tupo pamoja...uamuzi gani nimechukua?..jinsi ninavyompenda nimeamua kumuweka kwenye wallpaper yangu kwenya simu ili hali tu nisimsahau....nishaulini niponsawa au najisumbua tu.....