Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,071
- 2,010
Mkuu hapo kwenye red,hizo ni namba au herufi?Habari wakuu, mida ya saa12 asbh nipo zangu Kituoni pale Miyuji nasubiri basi la Machame niende zangu 'R Chuga' saa12 kama na dakika 20 hv Shabiby likapita, dakika km ishirini bdae Machame likapita nikapanda nikaanza safari! Tumekwenda huko katikati ya safari kabla ya kufika wilaya ya chemba naona mshine(arusha express ) inatuovateki, wkt huo Machame limeshafikia spidi ya mwisho mpk kale ka mlio ka wiu wiu wiu wiu wiu!! ka kidhibiti mwendo kakawa kanalia wkt huo arusha express Scania Marcopolo la enzi hizo namba A linaovateki Yutong namba D, nikasema poa!! Tukatembea kufika mbele tukakuta limemishwa check point ya trafiki na sisi pia tukasimamishwa, baadae sisi tukawa wakwanza kuondoka pale, dereva wetu kapiga kiatu wee mpk kale ka alarm kakawa kanalia tena mara paaap! Arusha express hili hapa tena ubavuni likatuovateki tena!! Sasa hapa ndo najiuliza hizi ovateki za scania(ars xpress) ni uwezo wa gari au kuna kitu nyuma ya pazia?! Mimi ninachojua mabasi yote ya safari ndefu yamedhibitiwa yatembee max 80km/hr kwa hyo mwenzako akikutangulia akiwa ktk hyo max spidi huwezi kumuovateki, hii imekaaje wadau km kuna mwenye wazo la tofauti!!
Mkeka mwanzo mwisho arifuMkuu njia ya huko imeisha kamilika tayari??
Maelezo yako yanaanza kunikumbusha miezi 3 iliyopita. Nilipanda Bus la Majinja pale Ubungo kuelekea Mbeya, muda wa kuondoka ulipaswa Uwe saa 12 asubuhi but tulichelewa Dakika 25 kwa sababu walimuita fundi aje afunge hizo ving'amuzi vyao vya spidi. Mabasi mengi yaliondoka saa 12 kamili. Kumbuka Majinja la Kyela na Sumbawanga yote ni scania namba A. Huko njiani ilikuwa hatari tupu mpaka tunafika mzumbe pale kwenye nyama za wamasai bus letu ndio lilikuwa la kwanza wakiongozana na Majinja la Sumbawanga na Golden Deer. Halafu dereva analalamika anasema king'amuzi hakisomi lolote coz spidi alikuwa anapitiliza.Habari wakuu, mida ya saa12 asbh nipo zangu Kituoni pale Miyuji nasubiri basi la Machame niende zangu 'R Chuga' saa12 kama na dakika 20 hv Shabiby likapita, dakika km ishirini bdae Machame likapita nikapanda nikaanza safari! Tumekwenda huko katikati ya safari kabla ya kufika wilaya ya chemba naona mshine(arusha express ) inatuovateki, wkt huo Machame limeshafikia spidi ya mwisho mpk kale ka mlio ka wiu wiu wiu wiu wiu!! ka kidhibiti mwendo kakawa kanalia wkt huo arusha express Scania Marcopolo la enzi hizo namba A linaovateki Yutong namba D, nikasema poa!! Tukatembea kufika mbele tukakuta limemishwa check point ya trafiki na sisi pia tukasimamishwa, baadae sisi tukawa wakwanza kuondoka pale, dereva wetu kapiga kiatu wee mpk kale ka alarm kakawa kanalia tena mara paaap! Arusha express hili hapa tena ubavuni likatuovateki tena!! Sasa hapa ndo najiuliza hizi ovateki za scania(ars xpress) ni uwezo wa gari au kuna kitu nyuma ya pazia?! Mimi ninachojua mabasi yote ya safari ndefu yamedhibitiwa yatembee max 80km/hr kwa hyo mwenzako akikutangulia akiwa ktk hyo max spidi huwezi kumuovateki, hii imekaaje wadau km kuna mwenye wazo la tofauti!!
Red ipi arifu, mbona mi sioni red!! Au kuna mwingine anaona red hapo?!Mkuu hapo kwenye red,hizo ni namba au herufi?
Sikunyingi sanaMkuu njia ya huko imeisha kamilika tayari??
Kisbo kama huna haraka sana usipande. Na wenyewe hawakubembelezi lile gari tunapanda wenye roho ngumu ni kawaida sana kuwahi na kusubiria muda ilo swala ndo linachosha sanaNimepanda mabas mengi sana hapa bongo lakini mnyama KISBO SAFARI shikamoo
Kisbo! Aisee we acha mkuu, kuna mwaka fulani hivi nililipanda toka Dar to Mza... Yaani saa tisa mchana tupo Singida! Hizo Scania ziache aisee ni nxt level mkuu!Nimepanda mabas mengi sana hapa bongo lakini mnyama KISBO SAFARI shikamoo
hahahaha ulikoma mkuuu 🤣🤣🤣Mkuu si hiyo TU Sasa Kuna Arusha exp inayotoka Mpwapwa saa12 asb ndugu kwa mwendo ule HAKUNA gari linalo over take likichomoka hulikamati hata Kama litapakia kila kituo na gari nyibgine zisisimame kupakia.NIMELIPANDA LEO ASB SIFIKIRII KUPANDA TENA GARI LILE
Habari wakuu, mida ya saa12 asbh nipo zangu Kituoni pale Miyuji nasubiri basi la Machame niende zangu 'R Chuga' saa12 kama na dakika 20 hv Shabiby likapita, dakika km ishirini bdae Machame likapita nikapanda nikaanza safari! Tumekwenda huko katikati ya safari kabla ya kufika wilaya ya chemba naona mshine(arusha express ) inatuovateki, wkt huo Machame limeshafikia spidi ya mwisho mpk kale ka mlio ka wiu wiu wiu wiu wiu!! ka kidhibiti mwendo kakawa kanalia wkt huo arusha express Scania Marcopolo la enzi hizo namba A linaovateki Yutong namba D, nikasema poa!! Tukatembea kufika mbele tukakuta limemishwa check point ya trafiki na sisi pia tukasimamishwa, baadae sisi tukawa wakwanza kuondoka pale, dereva wetu kapiga kiatu wee mpk kale ka alarm kakawa kanalia tena mara paaap! Arusha express hili hapa tena ubavuni likatuovateki tena!! Sasa hapa ndo najiuliza hizi ovateki za scania(ars xpress) ni uwezo wa gari au kuna kitu nyuma ya pazia?! Mimi ninachojua mabasi yote ya safari ndefu yamedhibitiwa yatembee max 80km/hr kwa hyo mwenzako akikutangulia akiwa ktk hyo max spidi huwezi kumuovateki, hii imekaaje wadau km kuna mwenye wazo la tofauti!!