Inzi akiacha kutua kwenye uchafu akatua kwenye maua anaweza tengeneza asali?
Wanasayansi nchini japani wamegundua uhusiano wa inzi na asali na kugundua kuwa iwapo inzi akiacha uchafu anaweza kutengeneza asali , lakini tafiti hii imepigwa vikali na wanasayansi toka marekani na kusema dunia aitaki kusikiliza ujinga