Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
Ni zaidi ya kusaidia, kwani si baba yao yupo kwanini ukambebee majukumu yake....
Okay na huko kununua hadi friji ni kumfurahisha mtoto pia? Au friji ya kuhifadhia maziwa ya mtoto Hahaha ncheke mie
Mtoto nae anywe juice ya baridi kama wenzake wa main house hivyo inabidi ubebe na yeye awe kama wenzake, akienda mjini ananunua AZAM icecream na kutupia kwenye friji (kwenye msafara wa mamba na kenge wapo pia na ndo maana hawa watoto wengine wanaishi kwa mgongo wa ndugu yao yaani hapo ni sawa na mtoto wako umemsomesha au umempa mtaji akaja akafanikiwa na kutoa sehemu ya mali yake kwa ndugu zake wengine, issue hapo kama anapeleka friji kule alafu kwake hakuna friji hapo kidogo kuna cha kuhoji)Kusaidia ni sawa,mfano huwezi ukapeleka nguo za mwanao peke ake wakati kuna watoto wengine, utapeleka nguo, vitu vitu vya watoto, msosi ndio hadi na ada???
Okay na huyo jamaa anaepeleka hadi friji?
Teh kwa huduma hizi, siku ya kwenda kumuona mtoto ataachaje kupasha?
I guess that goes with the territory.Ha ha ha kama na bra unapeleka bila shaka safari za kwenda kumuona mtoto zitaleta mtoto mwingine #makingamotherhappy
Ha ha ha kama na bra unapeleka bila shaka safari za kwenda kumuona mtoto zitaleta mtoto mwingine #makingamotherhappy
Hili ni jibu au swali
Sijui na size ya nyonyo kapima kwa macho hadi ajue hii brazia inamtosha mweee
Baba yao yupo lakini hana kitu
Friji ni kama bakuli siku hizi...inahitajika tu ikibidi isaidiwe
Haya mambo pande zote yamepinda tu, hakuna anayefurahia mtoto wa mzazi mwenzake. So sishangai bidada kuchukia
Binafsi sioni tatizo jamaa kufanya hivyo as uchungu wa mwana........., sema kibaya ni kupasha kiporo
Ni jibu lenye swali
I guess that goes with the territory.
Fo'serious tho, mkiweka utaratibu, hivi vitu ni vidogo na vya kawaida sana.
Si ni ex wake sista, so anaijua tangu hapo
Kama una complain mtu kumsaidia mtu anayemjua itakuwaje kwa mtu asiyemjua
Weee usinitanie, mmeachana ana mtoto mmoja leo ana watoto 3, umejuaje kama halijabadilika? . Kama vipi si umpe hela atanunua mwenyewe. Hivi ukute tu mkeo kamnunulia mwanaume mwingine boxer utaelewa?
usipohudumia na wale wengie wasio wako mtoto wako hatapata care unazotaka ukituma ya wako tu yule itabid aigawanye kwa wote wale ambacho wewe hutaki mwanao aishi kwa tabu so inabid kuhudumia wote!!!! hakuna mwanaume ataekubali amchukue mtoto wake aje kwa mkewe weeeeee atateseka si kawaida ndo maana jamaa anaona bora ajikaze tu kuhudumia kule kule kwa sababu yuko kwa mama ake!!!
Mmh em ngoja tusikie leo kutoka kwa wababa zaidi. Maana kwa wanawake jinsi tulivyo hilo somo ni gumu sana, tutakimbilia tu kusema " mlete akae hapahapa home" (ili mume apunguze huduma za nje) .Katoto kakifika sasa mwee, ni watoto wachache watakaokuwa salama