Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,867
- 172,573
Mmh em ngoja tusikie leo kutoka kwa wababa zaidi. Maana kwa wanawake jinsi tulivyo hilo somo ni gumu sana, tutakimbilia tu kuropoka " mlete akae hapahapa home" (ili mume apunguze huduma za nje) .Katoto kakifika sasa mwee, ni watoto wachache watakaokuwa salama
Kama huduma zenyewe ndo hizo, siku ukienda kumuona mtoto si utakua kama hicho kikatuniahaaa....haka ka picha kana maana ipi coz
"imagery" inayopatikana hapa duuu...
Kumsaidia mwanao tu huku wadogo zake wana shida ni kuwaumiza watoto kisaikolojia
ukisadia saidia watoto wote wanaocheza na mwanao
wakifurahi wote na mwanao atafurahi....
Bra unapeleka ndio Mpendwa. Inahifadhi chakula cha mwanao. Besides, make a mother happy, she'll raise better kids.
Gelofriend kuna thread moja waliulizwa kuhusu kuoa mwanamke mwenye mtoto, walimiminika hao utadhani wamemwagiwa mayai wengi wakidai hawawezi kuhudumia damu ya mwanaume mwingine, ooh hawawezi kuishi na familia ya mtu(mtoto wa mtu) .....bila shaka leo upepo wao utabadilika mioyo yao itakua milaini kama viazi vitamu vilivoungwa na karanga
Ni zaidi ya kusaidia, kwani si baba yao yupo kwanini ukambebee majukumu yake....
Okay na huko kununua hadi friji ni kumfurahisha mtoto pia? Au friji ya kuhifadhia maziwa ya mtoto Hahaha ncheke mie
Kama huduma zenyewe ndo hizo, siku ukienda kumuona mtoto si utakua kama hicho kikatuni
usipohudumia na wale wengie wasio wako mtoto wako hatapata care unazotaka ukituma ya wako tu yule itabid aigawanye kwa wote wale ambacho wewe hutaki mwanao aishi kwa tabu so inabid kuhudumia wote!!!! hakuna mwanaume ataekubali amchukue mtoto wake aje kwa mkewe weeeeee atateseka si kawaida ndo maana jamaa anaona bora ajikaze tu kuhudumia kule kule kwa sababu yuko kwa mama ake!!!
Sasa kinachokuchekesha nini hapo dada
Yani nilikuwa naedit comment yangu hapa. Ingekuwa ni kuhusu single mother hapa ungewasikia tu " usioe single mother", Labda kama baba ake mtoto kafariki au kama anaweza mtoto akaishi na bibi yake. Ila wenyewe wakahudumie hadi na damu za wanaume wengine na mawasiliano ni fulluu mwee. Madai yao wao hawapashagi viporo ila single mothers tu
Na cha kuninunisha ni nini hapo kaka angu