P Patrick Elias JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 332 Reaction score 108 Jun 27, 2014 #1 Putin bwana! Baada ya Russia kutolewa kwenye michuano ya world cup pale Brazil kwa kupitia sheria za FIFA, Rais Putin amepinga na amesema atatumia jeshi kuhakikisha Russia inabaki mashindanoni.
Putin bwana! Baada ya Russia kutolewa kwenye michuano ya world cup pale Brazil kwa kupitia sheria za FIFA, Rais Putin amepinga na amesema atatumia jeshi kuhakikisha Russia inabaki mashindanoni.