Hivi Course Nursing inachukuliwaje ?

Makini Sana

Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
28
Reaction score
14
Habari wakuu


Kuna hawa Nacte na Wizara ya afya wanafanya course ya nursing idharaulike kwa mambo wanayoyafanya

1..Mara wapandishe vigezo vya kujiunga kutoka CCD kwa PCB respectively na kurudi kule kule kwa DDD ambapo yoyote anaweza kusoma tu


2..Mnahairisha mitihani ya Nacte kwa course ya nursing tu pasipo na sababu ya msingi
 
afya ngazi ya cheti na diploma ndio kumejaa vilaza,naweza kusema kuliko hata kada zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…